Rais Samia aandika historia, kutunukiwa tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers’ kesho
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho, Jumanne, Februari 4, 2025 anatarajiwa kupokea tuzo ya ‘The Gates Goalkeepers Award’ kama kielelezo cha matokeo makubwa ya kupunguza vifo vitokanavyo...