Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1132 results for Hadija Jumanne :

  1. Kesi ya Dk Slaa kutajwa leo Mahakama ya Kisutu

    Kesi ya kusambaza taarifa za uongo kwenye Mtandao wa X inayomkabili wanasiasa mkongwe nchini, Dk Willibrod Slaa (76) itatajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

  2. PRIME Hizi hapa sababu za 'Chuma cha Chuma' kufungwa jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu Chuma cha Chuma, kifungo cha miaka mitatu jela na faini ya Sh500,000 baada ya kupatikana na hatia ya...

  3. Chuma cha Chuma ahukumiwa miaka mitatu jela, faini Sh500,000

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu raia wa Burundi, Ferdnand Ndikuriyo (27) maarufu ‘Chuma cha Chuma’, kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela na kulipa faini ya Sh500,000 baada ya...

  4. Wawili kortini wakidaiwa kumiliki mijusi 226

    Katika kesi ya kwanza, wakili Mafuru amedai kuwa, washtakiwa wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi namba 2997/2025.

  5. Uchunguzi kesi ya Wapakistani wanaodaiwa kusafirisha dawa za kulevya waendelea

    Wakili alidai kuwa, upelelezi wa kesi hiyo bado unaendelea hivyo, wanaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.

    New Content Item (1)
  6. Wanne kortini kwa madai ya kuwatapeli wastaafu

    Wakazi wanne wa mkoa wa Kagera na Mwanza, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashtaka 49 yakiwemo ya kutumia laini ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu...

  7. PRIME Mahakama ya Kisutu yafungwa mikono kesi ya Dk Slaa

    Dk Slaa anakabiliwa na shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa kijamii wa X.

  8. DPP amkatia rufaa Dk Slaa Mahakama ya Rufani

    DPP amewasilisha notisi ya kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo, jana Januari 30, 2025 katika Mahakama ya Rufaa

  9. Mkutano wa nishati ulivyokwamisha hatima ya Dk Slaa mahabusu

    Tangu siku hiyo, amekuwa mahabusu katika Gereza la Keko ambapo mpaka leo amekaa kwa siku 17, akisubiri kusikilizwa na kuamuliwa kwa shauri la maombi ya Jamhuri ya kupinga kupewa dhamana.

  10. PRIME Dk Slaa anavyosota mahabusu

    Hata hivyo, kupitia jopo la mawakili wake amefungua mashauri mawili ya maombi ya Jinai Mahakama Kuu, chini ya hati ya dharura, akihoji uhalali wa shtaka linalomkabili katika Mahakama ya Kisutu.

Previous

Page 15 of 114

Next