Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Madereva wamulikwa kuelekea mwishoni mwa mwaka

    Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka, madereva wakiwamo wa mabasi ya abiria, wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani ili kuepuka ajali na kuokoa maisha.

  2. PRIME Ukame wa abiria vituoni wakatika, mabasi yajaa abiria

    Hali Hali ya ukame wa abiria uliokuwa ukionekana katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli katika siku za hivi karibuni imebadilika baada ya ongezeko la wasafiri kuelekea sikukuu za Krismasi na...

  3. Wapagazi 30,000 waungana, waanzisha TAP kutetea haki zao

    Zaidi ya wapagazi 30,000 kutoka vyama vinne nchini wameungana na kuunda umoja wao uitwao Tanzania Association of Porters (TAP), kwa lengo la kuimarisha mshikamano miongoni mwao na kuweka mfumo...

  4. Mikusanyiko mwishoni mwa mwaka ni zaidi ya shamrashamra

    Sikukuu za mwishoni na mwanzoni mwa mwaka ni fursa kwa wana jamii kukusanyika, kukumbuka walikotoka na kujiuliza wanakoelekea.

  5. Wakulima ‘wang’atwa sikio’ uzingatiaji kilimo cha kisasa

    Imeelezwa kuwa uzingatiaji wa matumizi ya sayansi na teknolojia za kisasa katika kilimo utawasaidia wakulima nchini kupata mazao bora, kuongeza tija na hatimaye kuchochea mageuzi makubwa katika...

  6. Watoto wawili wateketea moto, wazazi walazwa

    Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa chanzo cha moto bado kinaendelea kuchunguzwa.

  7. Mweka kuzalisha wataalamu wa saikolojia katika utalii

    Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka kimepanga kuanzisha programu ya saikolojia katika utalii, itakayolenga kutambua na kuelewa kwa kina malengo, mitazamo na matarajio ya watalii wanaoingia...

  8. PRIME Profesa Mkenda azungumzia kukamatwa mhadhiri UDOM

    Soma zaidi hapa...

  9. TRA Kilimanjaro kukusanya Sh32 bilioni Desemba pekee

    Ikiwa zimesalia siku 19 kabla ya kuingia mwaka 2026, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kilimanjaro imejipanga kukusanya zaidi ya Sh32 bilioni kwa kipindi cha Desemba 2025 ili kufikia lengo...

  10. Aliyeua mke, mtoto ahukumiwa kunyongwa

    Ni mauaji ya kutisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Hamis Shija, kuhukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kuwaua mkewe, Diana John na mtoto wao, Yakobo Hamis.

Previous

Page 15 of 144

Next