Sh381 bilioni zakusanywa hatifungani Zanzibar Sukuk Wakati dirisha la awamu ya kwanza likifungwa katika uwekezaji wa hatifungani inayofuata misingi ya Kiislam (Zanzibar Sukuk), zaidi ya Sh381 bilioni zimekusanywa.
CCM: Watakaohujumu uchaguzi kura za maoni, kusimamshwa kazi Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amesema chama kitawasimamisha kazi na wengine kuwapeleka katika kamati za usalama na maadili watendaji na viongozi...
Adha ya mvua inavyotesa wakazi wa Dar, mikoani Barabara hazipitiki, kazini na hata shuleni hakuendeki. Huu ndio uhalisia wa hali ilivyo katika baadhi ya maeneo nchini, kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha mfululizo.
‘Malalamiko ya umeme, huduma za afya yashughulikiwe’ Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Mohamed Said Dimwa, amezitaka wizara nne kushughulikia malalamiko ya wananchi kuhusu urasimu wa kuunganishiwa umeme na huduma duni za...
Dk Mpango: Afrika iimarishe umoja kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi Nchi za Afrika zimesisitizwa kuimarisha umoja ili kusukuma mbele ajenda ya pamoja katika kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
Umoja wataja kuboresha mifumo ya chakula Mtaalamu wa lishe kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa, la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Deborah Esau amesema sekta zinazohusika kuboresha afya na lishe kila moja inafanya kazi kivyake jambo...
PRIME Wazee Zanzibar wasimulia hali halisi ya Muungano Tanzania ilizaliwa Aprili 26, 1964, baada ya viongozi wa wakati huo, Mwalimu Julius Nyerere wa Tanganyika na Sheikh Abeid Amani Karume wa Zanzibar, kuchanganya udongo wa pande zote mbili kama...
Wataalamu wa usafiri kujadili fursa mpya za biashara, uchumi Unguja. Watunga sera na wataalamu wa usafiri na usafirishaji kutoka mabara manne wanakutana Zanzibar katika Mkutano wa Kimataifa wa Shirikisho la Vyama vya Mawakala wa Ushuru na Forodha Afrika...
Ambulensi iliyobeba maiti yawaka moto Watu wanane waliokuwa wanakwenda makaburini kuzika pamoja na mwili wa marehemu wamenusurika kuteketea baada ya ambulensi walimokuwamo kuwaka moto.
Watoto wanaotumikishwa Zanzibar kutoka Bara waanza kusakwa Katika kukabiliana na tatizo la usafirishaji wa watoto kutoka Bara kwenda Zanzibar kwa ajili ya ajira za utotoni, Serikali kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama imeanza kufanya ukaguzi...