Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1449 results for Janeth Joseph :

  1. Miaka minne ya mabadiliko Nida, vitambulisho bado hali tete

    Licha ya mabadiliko ya kiutawala na kiutendaji yaliyofanywa katika Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) kwa kipindi cha miaka minne mfululizo, bado utoaji wa vitambulisho kwa wananchi umekuwa...

  2. VIDEO: Maaskofu wanena

    Amani, haki na maridhiano ni miongoni mwa salamu zilizotolewa na viongozi wa dini katika sikukuu ya Krismasi wakisihi waumini na jamii wazingatie hayo pasipo kujali vyeo au madaraka ili kudumisha...

  3. Wasomi wachambua staili ya Magufuli jukwaani

    Ziara ya kikazi ya siku nne ya Rais John Magufuli katika Mkoa wa Lindi imeacha mtikisiko huku baadhi ya wasomi wakitaka watendaji wa chini kujifunza kasi ya bosi wao huyo katika utendaji kazi.

  4. Matarajio ya wananchi katika Bajeti

    Wakati Serikali ikiwasilisha bajeti yake ya mwaka wa fedha wa 2019/20 inayofikia Sh33 trilioni leo jioni, baadhi ya Watanzania wameelezea matarajio yao katika bajeti hiyo ya tatu katika utawala...

  5. Majina 73 ya wakurugenzi yaliyotajwa mahakamani kuwa makada wa CCM

    Mei 10 mwaka huu, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam ilitoa uamuzi na kuwaengua wakurugenzi wa halmashauri za majiji, miji/wilaya na manispaa kusimamia chaguzi mbalimbali nchini.

  6. Mwili wa Mengi kuletwa leo, maandalizi yaanza Machame

    Wakati mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi ukiletwa mchana wa leo, maandalizi kijijini kwake Nkuu, Machame mkoani Kilimanjaro atakapozikwa yameanza.

  7. Kikwete autaja uzalendo, uchapakazi wa Mengi

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema kifo cha Reginald Mengi ni pigo kwa Taifa ambalo limempoteza raia makini, mchapakazi na mzalendo huku akiwataka watu wanaotunga uongo kuhusu kifo cha...

  8. Aliowabeba wanavyomlilia

    Baadhi ya watu ambao kwa namna moja au nyingine maisha yao yaliguswa na Mengi wameeleza jinsi walivyonufaika na mchango wake.

  9. Bei ya unga wa sembe yapanda, Serikali yatoa sababu

    Bei ya unga imepanda katika maeneo mbalimbali nchini, jambo ambalo limesababishwa na kupanda kwa bei ya mahindi ambayo ndiyo chakula kikuu cha Watanzania walio wengi.

  10. Baba aeleza mazito mauaji ya mwanaye

    Jackson Makundi, baba mzazi wa mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Scolastica, Humphrey Makundi (16) aliyeuawa mwaka 2017, ameeleza namna alivyoutambua mwili wa mwanaye baada ya kufukuliwa.

Previous

Page 141 of 145

Next