‘Uvuvi wa kutumia tanga na mti, unaharibu matumbawe’ Wakati wavuvi wadogo wakitakiwa kuachana na uvuvi haramu, kuhifadhi mazingira ya bahari, wamesema uvuaji wa kutumia tanga na mti unachangia kuathiri matumbawe chini ya bahari, hivyo kuiomba...
Afariki dunia, mwingine ajeruhiwa wakiiba nyaya za umeme Tukio hilo limesababisha zaidi ya maeneo 14 yameathiriwa kwa kukosa umeme wakati Shirika la Umeme Zanzibar likiendelea na jitihada kurejesha hali ya kawaida.
Amani ya kweli haiji bila haki- Askofu Chambala Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Kiteto, Isaya Chambala amesema amani ya kweli haiji bila haki, huku akiwataka viongozi wanapohubiri amani kukumbuka kutenda haki.
Sh13 bilioni kuendeleza mabonde ya mpunga Zanzibar Katika jitihada za kuhakikisha Zanzibar inajitegemea kwa chakula, umeandaliwa mradi wa kuendeleza mabonde ya mpunga ambao utatumia Dola za Marekani 5.153 milioni sawa na (Sh13.8 bilioni).
Tuzo za umahiri sasa kutolewa Zanzibar Kwa mara ya kwanza Zanzibar imeandaa tuzo za umahiri katika mawasiliano ambazo zitashirikisha waandishi wa habari kutoka ndani na nje ya nchi.
Masheha, watendaji walaumiana uchimbaji holela mchanga, mawe Wakati Wizara ya Maji, Madini na Maliasili Zanzibar ikidai masheha ndio wanawajibika kulinda mali zisizohamishika, wao wamesema baadhi ya watendaji wa wizara ndio wanaoshirikiana na watu...
Magonjwa yasiyoambukiza bado mfupa mgumu Waziri wa Afya Zanzibar, Ahmed Nassor Mazrui amesema utafiti uliofanywa na wizara hiyo kwa kushirikiana na taasisi nyingine, kuhusu viashiria hatarishi na ufuatiliaji wa hali ya magonjwa...
CCM, Zaeca kushirikiana kuwabana watoa rushwa kwenye mchakato wa uchaguzi Kila jimbo kimeanza kuweka watu wa maadili wa chama hicho kwa kushirikiana na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (Zaeca).
Othman rasmi kumvaa Mwinyi Uchaguzi mkuu Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa, Othman Masoud amechukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama hicho katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
CCM Zanzibar yatoa onyo kwa watia nia kabla ya muda Unguja. Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, kimesema hakitamvumilia mwanachama yeyote ambaye ataanza kujipitisha majimboni na kuanza kupiga kampeni kabla ya wakati. Naibu Katibu Mkuu wa CCM...