PRIME Odero: Nimetumwa na mbingu kugombea uenyekiti Chadema Mpaka sasa kuna wagombea watatu wa uenyekiti Chadema katika uchaguzi utakaofanyika Jumanne Januari 21, 2025 jijini Dar es Salaam, akiwamo Mwenyekiti Freeman Mbowe na makamu wake Tundu Lissu...
Kelele za rushwa zaibua wadau Kukithiri kwa vitendo vya rushwa nchini kunatajwa kuwa tatizo mtambuka linalogusa malezi, kukosa hofu ya Mungu, na ukosefu wa masilahi kazini.
PRIME ACT Wazalendo na usemi aungurumapo papa baharini na wengine wapo Katika mahojiano maalumu na Mwananchi wiki hii, Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Issihaka Mchinjita anaeleza mikakati ya chama hicho kushinda chaguzi na hatimaye kushika Dola.
PRIME Lema ataja kiini cha tatizo Chadema, Mnyika azungumza Ni dhahiri Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinapitia kwenye nyakati ngumu zinazotishia mustakabali wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini.
PRIME Miaka 10 ya Eyakuze Twaweza: Safari ya milima na mabonde Baada ya miaka 10 ya milima na mabonde katika ushawishi wa sera na kusikiliza sauti za wananchi, sasa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza East Africa, Aidan Eyakuze anastaafu.
PRIME Walichokisema Mbowe, Lwaitama ukomo wa madaraka Chadema Hoja ya ukomo wa madaraka ambayo kwa miaka mingi ilikuwa inazungumzwa nje ya Chadema, iliibuliwa upya na Lissu alipotangaza kugombea uenyekiti wa Desemba 12, 2024 jijini.
PRIME Utitiri wa Wachina kila kona ni fursa au janga? Kwa mujibu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), hadi Februari 2024, China imeshasajili miradi 1,274 yenye thamani ya Dola 11.4 bilioni, ikilenga kuzalisha ajira 149,759, ikiwa ni matunda ya...
Nafasi ya Mbowe uchaguzi wa mwenyekiti Chadema Mbowe anabebwa na historia nzuri ndani ya Chadema ya kukitoa chama hicho kutoka kuwa chama kidogo hadi chama kikuu cha upinzani nchini.
Mbowe amkazia Tundu Lissu Hatimaye Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza rasmi kuitetea nafasi hiyo aliyoitumikia kwa miaka 20, akisema anawania miaka mitano kwa mara ya mwisho na kufunga rasmi mjadala kuwa...
PRIME Sababu Jeshi la Polisi kutajwa 10 bora Afrika Jeshi la Polisi la Tanzania limetajwa kuwa miongoni mwa majeshi bora 10 ya Afrika kwa kwa kutumia weledi na kuheshimu haki za wananchi.