Msuya aagwa, viongozi wa dini waonya rafu za uchaguzi
Wakati mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Cleopa Msuya, ukiagwa katika viwanja vya CD Msuya, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro, viongozi wa dini wameonya rafu...