Ofisa Habari wa Timu ya KenGold, 'chupuchupu' kwenda jela kwa kuomba rushwa mchezaji
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu, Ofisa Habari na Mawasiliano wa Timu ya Mpira wa Miguu ya KENGOLD Sport Club, Joseph Mkoko(34), kulipa faini ya Sh1 milioni au kwenda jela miaka miwili...