Wazazi ‘ubize’ na simu unavyoathiri malezi, makuzi ya mtoto wako
Hali imetajwa kuwa inaweza kuathiri maendeleo ya lugha kwa watoto wadogo, kwa kuwa wao hupata ujuzi wa lugha kupitia mazungumzo ya ana kwa ana, hivyo simu huchukua nafasi hiyo na kuchelewesha...