PRIME Wanasheria, madaktari wataja hatari punguzo tozo ya 'energy drink' Wanasheria na wataalamu wa afya wameitaka Serikali kufuta pendekezo la punguzo la kiwango cha ushuru wa bidhaa kwenye vinywaji vya kuongeza nguvu 'energy drink' wakisema ni kinyume cha Katiba ya...
Vyanzo vinane kuchangia bima kwa wote VVU/Ukimwi Serikali katika mwaka 2025/2026 imependekeza kuanzisha vyanzo vya mapato vinane kwa ajili ya kudhibiti maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na kugharimia bima ya afya kwa wote.
Ushuru kwa ‘energy drink’ kupungua Ushuru wa bidhaa ya vinywaji hivyo vinavyozalishwa ndani ya nchi, imepungua kutoka Sh561 kwa kila lita hadi Sh134.2 kwa kila lita.
PRIME KUELEKEA BAJETI KUU: Rasilimali asili zichangie Mfuko wa Bima ya afya kwa wote Hata hivyo, amedai bado kuna wasiwasi kutokana na uchumi wa nchi kuwa chini na hata rasilimali za nchi hazitoshi kuendesha kikamilifu.
Ukatili dhidi ya watoto wapungua Tanzania - Utafiti Ni ukatili wa kingono, kimwili na kihisia kwa kundi la watoto wa miaka 13 hadi 24, ambao matokeo yameonyesha umepungua nchini ikilinganishwa na utafiti kama huo uliofanyika miaka 15 iliyopita.
PRIME Mwili uliookotwa Coco Beach wabainika wa Dk Hashimu aliyepotea Mwili wa mwanafunzi wa udaktari bingwa wa upasuaji Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili - Muhas, Dk Hashim Titto umeokotwa katika ufukwe wa bahari wa Coco jijini Dar es Salaam.
Wachumi wapinga wananchi kukatwa Sh100 kwenye simu Wataalamu wa uchumi nchini wamesema iwapo kodi na tozo zitaendelea kuongezwa kwa wananchi ambao ndiyo wazalishaji wa mali, uchumi wa nchi hauwezi kukua.
Wanaume 305 wafunga uzazi, madaktari waeleza faida Wakati wanaume wengi wanaposikia kuhusu kufunga uzazi huwa wagumu kukubaliana na hatua hiyo, mwanaume aliyefanikiwa kufunga uzazi, amesema hatua hiyo imemwongezea muda wa kushiriki tendo huku...
Serikali yaanza kununua ARVs, kufufua kiwanda cha uzalishaji Arusha Wizara ya Afya imeweka wazi kuwa tayari imeanza kununua dawa za ARVs za kufubaza makali ya Virusi vya Ukimwi (VVU), na tayari Sh93 bilioni zimetolewa kwa ajili ya ununuzi wa dawa hizo na bidhaa...
Serikali kuboresha mifumo ya takwimu za afya Serikali kwa kushirikiana na wadau imeanzisha mfumo wa kuimarisha ukusanyaji wa takwimu za vizazi na vifo, zitakazounganishwa na mifumo mingine ya Serikali ili isomane.