Kikwete: Tutumie takwimu sahihi, teknolojia kupambana na umaskini
Rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete amesisitiza umuhimu wa nchi za Afrika kutumia takwimu sahihi na teknolojia za kisasa, hususan katika sekta ya kilimo, ili kuwezesha uundaji wa sera madhubuti...