Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1154 results for Jesse Mikofu :

  1. Matukio ya ukatili yazidi kukithiri Zanzibar

    Wilaya ya Magharibi A imeongoza kwa kuwa na matukio mengi zaidi, ikiwa na matukio 23 sawa na asilimia 21.5, ikifuatiwa na Magharibi B yenye matukio 22 sawa na asilimia 20.6

  2. Waandikishaji wapigakura watakiwa kuzingatia viapo

    Kuhusu idadi kamili ya watakaosajiliwa kwenye vituo hivyo, Mkina amesema bado haijajulikana kwa sababu hali ya Magereza hubadilika mara kwa mara kutokana na uingiaji na utokaji wa wafungwa na...

  3. Soraga: Utalii uendane na uhifadhi mazingira

    Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema utalii ambao inawekea mikakati kuukuza lazima uendane na uhifadhi wa mazingira na wadau wote washiriki katika utekelezaji wa mpango huoili kuimarisha utalii...

  4. Yaliyotikisa Baraza la Kumi, Rais Mwinyi kulivunja

    Baraza la Wawakilishi la Kumi linafikia tamati ya uhai wake baada ya kipindi cha miaka mitano, likiacha kumbukumbu ya kumaliza majukumu yake chini ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), mfumo wa...

  5. ZDCEA yatangaza dau Sh10 milioni kumnasa mtuhumiwa dawa za kulevya

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Zanzibar (ZDCEA) imetangaza kutaifisha mali za mtuhumiwa wa dawa za kulevya Said Seif Salum zenye thamani ya Sh966 milioni kuwa mali ya Serikali.

  6. PAC yashangaa dosari zinazotajwa na CAG kujirudia

    Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), imeshangazwa na baadhi ya taasisi za umma kuendelea kurudia makosa licha ya kuwepo kwa juhudi za kuyarekebisha.

  7. Wawakilishi watakiwa kuendelea kudumisha amani, utulivu

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla amewataka wajumbe wa Baraza la Wawakilishi kuendelea kudumisha amani na utulivu katika majimbo yao wakati na baada ya uchaguzi mkuu...

  8. Soraga: Maonyesho ya Nyamanzi kusisimua mapato, kuongeza ajira

    Maonyesho haya ya pili kufanyika kisiwani hapa pia yana lengo la kuwa jukwaa muhimu la kukuza utalii, kuvutia wawekezaji wapya, na kuimarisha ushirikiano kati ya wadau wa sekta ya hiyo kutoka...

  9. Wawakilishi wataka misamaha ya kodi izuiwe

    Kuhusu misamaha ya kodi, Mussa amesema kwa upande mmoja inaweza kuwa mizuri au mibaya kulingana na matumizi yake.

  10. Ajirusha bahari kutoka kwenye boti, aokolewa

    Mohamed Shaib Saleh, mkazi wa Pemba, ameokolewa salama baada ya kujirusha baharini kutoka kwenye boti ya Zanzibar 3 iliyokuwa safarini kutoka Pemba kuelekea Unguja.

Previous

Page 3 of 116

Next