Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

177 results for Joyce Joliga :

  1. Mpango ataja mambo yanayochochea maambukizi ya VVU

    Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametaja mambo matano yanayochochea maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) nchini akisema yanachangia kutofikiwa kwa malengo ya kutokomeza ugonjwa huo nchini.

  2. Simulizi ya Zuhura mwenye VVU miaka 15 katikati ya unyanyapaa  

    Songea. Zuhura Juma (51), mkazi wa Mfaranyaki wilayani Songea anapozungumzia maambukuzi ya Virusi vya Ukimwi (VVU), anataka jamii iwe na tafakari ya kina kuhusu yanayotokana na kujamiiana na hata...

  3. Maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto yapungua

    Songea. Hali ya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, inaonyesha matumaini baada ya kupungua kutoka asilimia 18 mwaka 2010 hadi asilimia saba mwaka 2022. Pia...

  4. Ruvuma kinara upimaji VVU nchini

    Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, Ruvuma inaongoza kwa kupima VVU ikifuatiwa na Mkoa wa Njombe kwa asilimia 78.2 na Shinyanga kwa asilimia 78

  5. Wawili mbaroni wakidaiwa kuingiza dawa bandia za mifugo nchini

    Upelelezi wa tukio hilo bado unaendelea kwa kushirikiana na mamlaka husika

  6. Mzungu aliposhindwa kutamka songela akaita Songea

    ’Mzungu alishindwa kutamka songela akasema songea, lakini neno songea maana yake ni mlango.

  7. Matumaini mapya ujenzi reli ya kisasa Mtwara-Mbambabay

    Songea. Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ipo katika mchakato wa kufanikisha ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Mtwara hadi Mbambabay. Amesema ni kiu ya Serikali kufanikisha hilo ili...

  8. Rais Samia acharuka wanaomwita muuaji

    Amesema hakuwahi kuua mtu labda sisimizi

  9. Rais Samia awapa wanafunzi mbinu ya kufaulu

    Rais Samia Suluhu Hassan amewapa wanafunzi mbinu ya kufaulu mitihani, akisema majibu ya maswali yote yanapatikana kupitia Teknonojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama).

  10. Samia akemea uzushi, akerwa viongozi kuwa bubu

    Imeelezwa kuwa, si sawa kusubiri Rais au waziri aende katika eneo husika akanushe uzushi, ilhali kuna viongozi unaowahusu

Previous

Page 3 of 18

Next