Search

237 results for Mainda Mhando :

  1. Bashungwa akerwa na kasi ndogo uwanja wa Msalato

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amekagua miradi ya ujenzi ya barabara ya mzunguko (ring road) na Uwanja wa Ndege Msalato kwa awamu ya kwanza ambao ameeleza kutoridhishwa na kasi ya ujenzi...

  2. Wanafunzi 17 wadaiwa kutimuliwa baada ya kugomea somo

    Wanafunzi 17 wanaodaiwa kusoma kozi ya Afya ya Jamii (Community Health) katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi (Decca) ambayo ilifutwa tangu mwaka 2019 wameiomba Serikali kuwapatia sehemu ya...

  3. Jafo aonya wanaosafirisha vyuma chakavu bila vibali

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dk Selemani Jafo ametoa onyo kwa wafanyabiashara wanaosafirisha vyuma chakavu nje ya nchi bila kibali kuwa hatua kali za kisheria...

  4. Rea yatumia Sh189 bilioni kuiangaza Mtwara

    Wakala wa Nishati Vijijini (Rea) mkoani Mtwara, imetumia Sh189 bilioni kukamilisha na kuendeleza miradi mbalimbali ya kusambaza nishati ya umeme, na hivyo kuchochea mapinduzi ya kijamii na kiuchumi.

  5. Wananchi 75,968 kunufaika mradi mpya wa maji Dodoma

    Tanki lenye uwezo wa kujaza maji lita milioni tatu tayari limefungwa kwenye mradi wa maji Nzuguni na kufanya mradi huo kufikia asilimia 87 ya utekelezaji wake.

  6. Mradi kufunga taa uwanja wa ndege Dodoma wasuasua

    Mradi wa kufunga taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, umefikia asilimia 90 huku vifaa vinavyoagizwa nje ya nchi vikitajwa kukwamisha kukamilika kwa mradi huo Septemba, 2023; mamlaka zimeeleza.

  7. PRIME Kamera zilivyosaidia kuwatia hatiani askari Magereza watatu

    Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani hapa, imewatia hatiani askari Magereza watatu kwa kosa la kusababisha kifo cha Richard Bukombe Bulole.

  8. Wataka hamasa iongezeka kujitolea damu

    Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Bahi, Dk Kassim Kolowa, amesema damu iliyopatikana katika tukio hilo itasaidia majeruhi wanaopata ajali mara kwa mara katika barabara kuu ambao hushindwa...

  9. Watatu wafariki ajali ya Noah

    Imeelezwa kuwa dereva wa gari hilo alishindwa kupandisha mwinuko uliopo kwenye barabara kuu katika eneo hilo hali iliyosababisha kupoteza mwelekeo na kuingia kwenye korongo.

  10. Asilimia 41wenye VVU wamepata mimba zisizotarajiwa

    Taasisi ya Afya ya Ifakara imebaini kuwa asilimia 41 ya wanawake wanaoishi na virusi vya Ukimwi (VVU) Mkoa wa Dar es Salaam wamepata mimba zisizotarajiwa.

Previous

Page 3 of 24

Next