Wasomi na wanazuoni wa Afrika kujifungia Dar es Salaam kujadili uhuru wao wa kitaaluma Wasomi na wanazuoni takribani 200 kutoka nchi mbalimbali za Afrika wanatarajia kukutana kwa siku nne jijini Dar es Salaam kujadili uhuru wa wanataaluma na wanazuoni katika bara hilo.
PRIME Nondo za Aunt Leila kwa wanandoa, wenza Kama ni mfuatiliaji wa mada mbalimbali zinazotolewa na wanasaikolojia pamoja na washauri mitandaoni kuhusu uhusiano, jina la Madam Leila Abubakar litakuwa si geni kwako.
Waziri Silaa ataka vianzishwe vilabu vya kidijitali Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa amezitaka shule na vyuo nchini kuanzisha vilabu vya kidijitali vitakavyosaidia kuongeza ujuzi wa teknolojia kwa wanafunzi.
Afrika yatakiwa kuja na bunifu za kiteknolojia kuendana na mazingira Wabunifu wa masuala ya teknolojia nchini wamehimizwa kutumia utaalamu walio nao kubuni mfumo wa Akili Mnemba (AI) utakaokuwa katika lugha, mazingira, maadili na data za Kiafrika.
Mwanafunzi ajinyonga bwenini, Polisi yaanza uchunguzi Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Polisi wa eneo la Kigezi, Elly Maate mwili wa Kiconco umepelekwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kabale kwa ajili ya uchunguzi
Pasaka kavu kwa wafanyabiashara Ikiwa zimesalia saa chache kabla ya Wakristo wa Tanzania kuungana na mataifa mengine kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, wafanyabiashara walalalimia kukosa wateja.
Mongella awatwika zigo wanawake nchi kujitegemea, amkumbuka Nyerere Dar es Salaam. Mwanasiasa mkongwe na mwanaharakati wa uwezeshaji wa wanawake nchini, Getrude Mongella amesema uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kusitisha misaada ya maendeleo kwa nchi...
PRIME Wanawake wanaopenda kubusu ndevu hatarini Busu kwenye ndevu zisizo safi husababisha maambukizi ya ngozi kwa wanawake, hasa kwenye midomo, mashavu, au maeneo ya karibu
Rais Samia mgeni rasmi 'Samia Kalamu Awards' Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye ugawaji wa tuzo za wanahabari zinazofahamika kama 'Samia Kalamu Awards'.
PRIME Kabla hujabadili tahasusi, zingatia haya Mwananchi linajaribu kuangazia nukta muhimu za kuzingatia kwa wanafunzi wanaotaka kubadili tahasusi na kozi, mchakato ambao Serikali inasema utakamilika Aprili 30.