Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1249 results for Mussa Juma :

  1. Kesi ya askari Polisi wanaodaiwa kumuua muuza madini Mtwara kuendelea leo

    Baada ya kesi ya mauaji ya mfanyabiashara na mchimba madini Mussa Hamis, inayowakabili maofisa saba wa Jeshi la Polisi mkoani Mtwara kusimama kwa zaidi ya mwaka mmoja, sasa kesi hiyo...

  2. PRIME Kilio uchache mabasi mwendokasi kukoma miezi mitatu ijayo

    Kiu ya wananchi kuhusu nyongeza ya mabasi yaendayo haraka katika Barabara ya Morogoro, inatarajiwa kukatwa miezi mitatu ijayo.

  3. PRIME Juma Choki: Mbabe mwenye rekodi kwenye ndondi

    Juma Ramadhani Choki, mtoto wa mchezaji wa zamani wa Mtibwa Sugar na Singida Big Stars, Ramadhan Choki ambaye huenda jina lake likaandikwa kwa wino wa dhahabu, mwaka huu.

  4. PRIME Dabi ya Machi 8: Mzani umekaa sawa

    Rekodi zinaonyesha timu hizo katika pambano la Machi 8, ambayo ni Siku ya Wanawake Duniani, hakuna aliye mbabe kwani kila moja imeshinda mchezo mmoja na kupoteza mwingine.

  5. PRIME Kwa nini wazazi wawe kikwazo cha mtoto kuoa, kuolewa?

    Vuta picha umekwenda kumtambulisha mchumba unayetarajia kumuoa wazazi wakamkataa, wa pili pia, hali hiyo ikajirudia kwa wa tatu.

  6. Kamati ya PAC yaibua kasoro utendaji taasisi za Serikali

    Kamati ya Kudumu ya Hesabu za Serikali (PAC) ya Baraza la Wawakilishi, imesema katika utendaji kazi wake imebaini kasoro nyingi, ikiwemo taasisi za Serikali kutofanya usuluhishi wa kibenki, hivyo...

  7. PRIME Mwendokasi kushusha mabasi mapya 100 yanayotumia gesi, full AC

    Kilio cha muda mrefu cha usafiri wa mabasi yaendayo haraka kinatarajia kumalizika baada ya Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart) kushusha mabasi ya kisasa 100.

  8. Wawili wafariki dunia ajali Handeni, yumo askari JWTZ

    Watu wawili wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyohusisha Toyota Noah kuigonga Toyota Canter ambayo ilikuwa pembeni ya barabara usiku wa kuamkia leo Jumatatu Januari 10, 2025 katika eneo la...

  9. Yanga yafuzu kibabe 32 bora Shirikisho ikiipa mkono Copco

    Yanga imewafuta machozi mashabiki wake ya kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Copco ya Mwanza leo Januari 26, 2025 katika Uwanja wa KMC...

  10. Wanne wakutwa na kipindupindu Mbeya, hatua zachukuliwa

    Pia imekataza aina yoyote ya mikusanyiko na vyakula pale inapotokea msiba wa aina yoyote mtaani humo ikieleza kuwa Serikali itasimamia mazishi na atakayekaidi maelekezo atachukuliwa hatua.

Previous

Page 3 of 125

Next