KONA YA FYATU MFYATUZI: Wabongo tunarogwa na dini zetu wenyewe
Baada ya kurogwa na kurogeka vilivyo, ghafla, tuliitwa na kuitana si majina ya kigeni tu bali hata matusi. Mara tuitwe washenzi, wenye dhambi, waliopotea, na wasio na maana wala ustaarabu.