Kuna tofauti ndogo kati ya Mondi na Jay Z! Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amewahi kumtaja rapa wa Marekani, Jay Z kama kielelezo kizuri kwake (role model) upande wa biashara na amekuwa akivutiwa na mtindo wake wa maisha wa...
Kabla ya ustaa Chid Benzi alikuwa msaidizi wa Professor Jay Haikuwa kazi rahisi kwa Chid Benzi kutoka kuwa msaidizi wa Professor Jay jukwaani hadi kuishika Bongo Fleva kwa wakati wake na kuwakilisha vizuri kule anapotokea kupitia muziki wake wa Hip Hop...
Ed Sheeran apeta tena mahakamani kesi ya hakimiliki Mahakama ya juu nchini Marekani imekataa kusikiliza kesi iliyodai kwamba wimbo wa Ed Sheeran kutokea Uingereza, Thinking Out Loud (2014) umekiuka haki miliki ya wimbo wa Marvin Gaye, Let’s Get It...
PRIME 'Room 3' Ya Mbosso na maana yake Mwanamuziki wa Bongofleva, Mbosso ameuteka mji kupitia Extended Playlist (EP) yake mpya, Room Number 3 (2025) yenye nyimbo saba, ukiwa ni mradi wa kwanza chini ya Khan Music inayofungua ukurasa...
Diamond alivyobadilisha biashara ya Jux hadi kimataifa Tayari mastaa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Jux wapo Uingereza kwa ajili ya show tatu zitakazofanyika London, Manchester na Glasgow hadi Juni 15, ikiwa ni mara ya kwanza kwa wawili hawa...
Penzi la Katy Perry na Bloom lakalia kuti kavu Uhusiano wa mwimbaji wa Pop Marekani, Katy Perry, 40, na mchumba wake, Orlando Bloom, 48, ambaye ni mwingizaji wa Uingereza unatajwa kukalia kuti kuvu huku kisirani cha mrembo huyo kikitajwa kuwa...
Wivu tu ndiyo ulimfanya Madee kutoa ngoma, Hip Hop Haiuzi Kwa miaka zaidi ya 20 Madee amekuwa maarufu katika Bongo Fleva kutokana na muziki wake pamoja wasanii wenzake alioshirikiana nao katika kundi la Tip Top Connection lililoundwa na mastaa kibao...
Ndoa ya Diamond, Zuchu imepita njia za mastaa hawa Mastaa wa muziki wa kizazi kipya nchini, Diamond Platnumz na Zuchu inadaiwa kufunga ndoa kimya kimya mbele ya watu wachache, jambo lililoibua mjadala na kuacha maswali kwa wengi kwa jinsi...
PRIME Mtihani wa kwanza kwa Mbosso nje ya WCB ni huu! Kiu ya mashabiki wengi wa Bongofleva kwa sasa ni kuona Mbosso anakuja vipi na kazi yake ya kwanza baada ya kuachana na WCB Wasafi, rekodi lebo yake Diamond Platnumz ambayo kafanya nayo kazi kwa...
‘Whitney Houston in Focus’ yaibua mengi Dokumentari iliyopewa jina la ‘Whitney Houston in Focus’ imeibua mengi kuhusu mwanamuziki huyo wa Soul, RnB na Pop kutokea Marekani ikielezea maisha yake kabla ya kuwa maarufu kupitia nyimbo zake...