Ripoti ya CAG yabaini upungufu katika usimamizi wa data za elimujiolojia nchini
Ripoti ya ukaguzi wa utendaji kuhusu usimamizi wa data za kielimujiolojia katika sekta ya madini nchini imebaini mapungufu makubwa katika ukusanyaji, uchambuzi, uhifadhi na usambazaji wa taarifa...