Mikoa, wananchi wanavyojiandaa kuepuka maafa utabiri wa TMA
Wananchi wameeleza hayo zikiwa zimepita siku mbili tangu TMA ilipotoa utabiri huo wa msimu wa mvua za masika, ambapo mikoa 14 imetajwa kuwa na mvua za masika za chini ya wastani, wastani na juu...