Waliofariki dunia ajalini Kilimanjaro yafikia sita Ajali hiyo ilitokea jana Septemba 28, 2025 eneo la Njiapanda Wilaya ya Moshi mkoani hapa baada ya dereva wa gari dogo kushindwa kulimudu kutokana na mwendokasi na kwenda kuligonga lori la mizigo.
Mgombea udiwani aahidi mapinduzi kwenye kata yake Moshi. Mgombea udiwani katika kata ya Rau kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Stallone Malinda ameahidi kusimamia ujenzi wa soko la kisasa kwenye kata hiyo hatua ambayo itachochea ukuaji wa uchumi...
Moto wateketeza bweni la shule ya Wasichana Asha-Rose Migiro Mbali na kuteketea kwa bweni hilo, wanafunzi 46 wamepata mshituko na kupelekwa Kituo cha Afya Mwilange kwa ajili ya kupatiwa matibabu zaidi.
Mallya aahidi kushughulikia changamoto ya umbali kwa wanafunzi Amesema shule mpya itajengwa pembezoni mwa Chuo cha Ufundi Karanga, akibainisha kuwa ni mradi muhimu unaolenga kuinua kiwango cha elimu katika kata hiyo.
Mgombea udiwani CCM aahidi kukomesha wanafunzi kutembea umbali mrefu Mgombea udiwani wa Kata ya Karanga kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Deogratius Mallya, ameahidi kushughulikia changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda shuleni kwa kuhakikisha ujenzi...
Watu watatu wafariki dunia, sita wakijeruhiwa ajalini wakitokea harusini Watu watatu wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya gari aina ya Noah walilokuwa wakisafiria kutokea harusini mkoani Tanga, kugongana uso kwa uso na lori lenye tela.
Wanaume wahimizwa kupima saratani ya tezi dume mapema Wakati saratani ya tezi dume ikitajwa kushika kasi katika mikoa ya Kanda ya Kaskazini, tafiti zinaonesha kuwa kati ya wanaume 470 waliopimwa mwaka 2023, 170 walikutwa na saratani hiyo bila wao...
Mgombea udiwani Marangu aahidi kushirikiana na mbunge kuleta maji Mgombea udiwani wa Kata ya Marangu Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Innocent Shirima ameahidi kushughulikia changamoto zinazowakabili wananchi wa kata hiyo, ikiwemo upatikanaji wa...
Aliyekutwa akisafirisha kokeni jela maisha Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi ,imemuhukumu kifungo cha maisha jela, Hemed Mrisho, maarufu Horohoro baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya...
Wawili wafariki dunia Kilimanjaro katika matukio mawili tofauti Mkazi wa Kijiji cha Kimbogho Kata ya Mamba Kusini Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Claudia Temba (68) amefariki dunia baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kuteketea kwa moto ambao chanzo chake...