Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Hii hapa orodha kamili waliopenya ubunge, uwakilishi CCM

    Katika kikao chake kilichofanyika leo Jumamosi, Agosti 23, 2025, NEC imepitisha majina ya wagombea watakaosimama majimboni kote nchini, sambamba na wawakilishi wa viti maalum kwa makundi maalum...

  2.  Wanafunzi 292 washindwa kuripoti shule kwa hofu ya wanyama

    Aidha, mwaka 2024 waliochaguliwa walikuwa 237, lakini walioripoti ni 100 tu huku 137 wakihamia maeneo mengine kutokana na changamoto hizo.

  3. Wasiojulikana wajeruhi, watoweka na Sh20 milioni

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni amethibitisha tukio hilo akisema limetokea jana Agosti 22, 2025.

  4. RC Babu asitisha matumizi ya ardhi eneo lenye mgogoro wa wakulima, wafugaji

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesitisha kwa muda wa siku 14 shughuli zote za matumizi ya ardhi kwenye eneo lenye ukubwa wa ekari 2,787 zilizopo katika Kijiji cha Marwa, Kata ya Ruvu,...

  5. Uchunguzi wabaini haya Hospitali ya Rufaa Mawenzi

    Serikali imesema uchunguzi wa awali uliofanywa kuhusu Hospitali ya Rufaa ya mkoa, Mawenzi kutoa huduma isiyoridhisha kwa wagonjwa umebaini changamoto kadhaa ikiwemo baadhi ya watumishi kutoroka...

  6. RC aliyekosa huduma hospitali, hatua zaanza kuchukuliwa kwa wahudumu

    Moshi. Serikali imeshachukua hatua kwa wahudumu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro, Mawenzi wanaodaiwa kutoa huduma zisizoridhisha kwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin...

  7. Serikali yaahidi kulinda waandishi wa habari wakati wa uchaguzi mkuu

    Serikali imesema itaendelea kuhakikisha waandishi wa habari wanafanya kazi katika mazingira salama, bila vitisho wala bugudha wakati wote wa Uchaguzi Mkuu.

  8. Hoteli ya Snow cape yateketea kwa moto Rombo

    Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo la moto na kusema chanzo chake hakijajulikana na uchunguzi unaendelea.

  9. Grace Kiwelu arejesha fomu ya ubunge Vunjo, wasisitiza haki uchaguzi mkuu

    Mtiania nafasi ya ubunge kupitia chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), Grace Kiwelu amerejesha fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vunjo, huku katibu wa chama hicho Mkoa wa...

  10. Waliombea eneo kulikotokea ajali iliyoua watu 42 Same

    Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini wamekutana katika Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro na kufanya ibada maalumu katika eneo la Sabasaba, ambako kulitokea ajali mbaya ya barabarani...

Previous

Page 24 of 144

Next