Makundi haya yapo hatarini kupata homa ya ini B Daktari bingwa wa magonjwa ya ndani katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Dk Elichilia Shao amesema zaidi ya asilimia 95 ya maambukizi ya virusi vya homa ya ini aina ya B...
Askari wanafunzi 10 kati ya 14 waliopata ajali kuendelea na matibabu Shule ya Polisi, Moshi Askari wanafunzi 10 kati ya 14 wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) Moshi, mkoani Kilimanjaro waliopata ajali ya gari wameruhusiwa kuendelea na matibabu katika hospitali ya Polisi iliyopo shuleni...
RC Babu alivyotinga hospitalini kimyakimya na mgonjwa, abaini ‘madudu’ Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (RC), Nurdin Babu amesikitishwa na huduma mbovu zinazotolewa na baadhi ya wahudumu wa afya wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mawenzi, mkoani humo.
Familia ya dereva bodaboda aliyetoweka Moshi yamuangukia Rais Samia Wakati Jeshi la Polisi likieleza kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu kutoweka kwa dereva bodaboda Deogratius Shirima (35), mkazi wa Korongoni, Manispaa ya Moshi, familia ya kijana huyo imemwomba...
Askari wanafunzi 15 wapata ajali, mmoja avunjika mbavu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo leo Agosti 12,2025 na kueleza kuwa majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Hai kwa matibabu.
Siku 407 bila kupatikana muuguzi wa KCMC aliyetoweka Muuguzi huyo anadaiwa kutoweka katika mazingira ya kutatanisha Julai 2, mwaka 2024, mtaa wa Rau Pangaleni, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro alikokuwa akiishi.
Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji Pamoja na mambo mengine, amelitaka Jeshi hilo kuhakikisha linakomesha vitendo vya uvunjifu wa amani na uhalifu nchini na kuhakikisha tunu ya amani inakuwepo.
PRIME Sarakasi watiania udiwani kukatwa Sarakasi za watiania ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) zimehamia kwa madiwani baada ya wananchi katika baadhi ya mikoa kuanzisha maandamano wakitaka majina ya wanaowataka yarejeshwe.
Mangi Marealle atoa gari kusaidia kampeni za CCM Kilimanjaro Mangi Mareale pamoja na mke wake wamekabidhi gari hilo Julai 30, mwaka huu katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro na kupokelewa na Katibu wa chama hicho Mkoa, Mercy Mollel.
Shally Raymond aibua shangwe kwa wajumbe UWT Kilimanjaro Shally alikuwa miongoni mwa makada waliochukua fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi hiyo, lakini jina lake halikurudi.