Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. PRIME Simulizi ya baba wa bibi barusi alivyopata taarifa ya ajali Same akiwa kwenye sherehe

    Baba wa bibi harusi, Jaffary Michael, amesimulia alivyopewa taarifa ya ajali mbaya ya mabasi wakati sherehe ikiendelea, ambapo ndugu zaidi ya 30 walifariki dunia wakielekea kwenye harusi ya binti...

  2. Vifo vyafikia 39, ajali ya magari mawili kugongana Same

    Amesema mabaki ya miili 33 yamepelekwa kwa Mkemia Mkuu wa Serikali ili kuitambua na kuikabidhi kwa familia kwa ajili ya taratibu za mazishi. Ambapo miili mitano imeshatambuliwa.

  3. Simulizi ya mzee aliyepoteza 10 ajalini Same

    Matarajio ya kusherehekea harusi yamegeuka huzuni na majonzi kwa familia ya mzee Kiluvia, anayeishi Ngusero, Same Mjini, mkoani Kilimanjaro, baada ya kupoteza watu 10, kati yao ndugu zake ni...

  4. Mama asimulia alivyomwokoa kichanga akimtupa dirishani ajali iliyoua watu 37 Same

    Ajali hiyo iliyoua watu 37 na majeruhi 30 ilitokea eneo la Sabasaba, Same mjini, baada ya basi Kampuni ya Chanel One lililokuwa likitokea Moshi kwenda Tanga na basi dogo aina ya Coaster...

  5. Vifo vyafikia 37 ajali ya magari mawili Same,  chanzo chatajwa

    Wakati idadi ya vifo ikiongezeka na kufikia 37, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema miili iliyoungua na haijatambulika itafanyiwa vipimo vya vinasaba (DNA) ili kubaini miili hiyo.

  6. Watu 36 wafariki dunia ajali ya Same, uokoaji bado unaendelea

    Wakati shughuli ya uokoaji na uondoshaji wa miili ikiendelea katika eneo ambalo ajali ya basi la abiria la kampuni ya Chanel One na basi dogo aina ya Toyota Coaster yaliyogongana uso kwa uso na...

  7. Watu 16 waokolewa ajali ya mabasi Same

    Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amesema watu 16 wameokolewa katika ajali iliyotokea wilayani Same ikihusisha basi kubwa na dogo, ambayo yaliwaka moto .

  8. Mabasi ya abiria yagongana, yawaka moto abiria wakiwa ndani Same

    Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kuungua moto baada ya basi la abiria kuvaana uso kwa uso na basi dogo na kusababisha kuwaka moto wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro. Ajali hiyo imetokea...

  9. Mwenyekiti Chaumma Kilimanjaro ahojiwa na Takukuru

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja amehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, kufuatia kauli...

  10. Mtoto wa miaka mitatu afanyiwa upasuaji wa ubongo kwa saa 10, KCMC

    Jopo la madaktari bingwa kutoka Marekani, kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), wamefanikiwa kufanya upasuaji uliotumia saa 10 kuondoa uvimbe kwenye...

Previous

Page 29 of 144

Next