Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Polisi: Baba wa watoto waliouawa alishikiliwa kwa mahojiano

    Mary anadaiwa kuwaua wanaye Precious mwenye miezi sita na Glory wa miaka minne. Tukio hilo lilitokea Juni 20, 2025 nyumbani kwao Kijiji cha Mungushi wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro akidaiwa...

  2. Taasisi za kifedha zatakiwa kuwekeza wajasiriamali wa chini, kati

    Taasisi za kifedha nchini hasa benki,zimetakiwa kuwekeza kwa wananchi,wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo na wa kati wanaohitaji kukua kiuchumi na kukuza biashara na mitaji yao.

  3. Wanaume wakimbia kijiji kuhofia kukamatwa mauaji ya ndugu wawili

    Vijana wawili wa familia moja wakazi wa Kitongozi cha Bulima Kata ya ltilima wilayani Kishapu mkoani Shinyanga wamekutwa wameuawa nyumbani kwao na mtu anayedhaniwa kuwa ni ndugu yao kisha kuiba...

  4. Ofisa Magereza Moshi apandishwa kizimbani kwa kesi ya ulawiti

    Ofisa wa Magereza, Emmanuel Nyange (35), ameshtakiwa na kupandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, akikabiliwa na shtaka la kumlawiti mtoto wa miaka 13.

  5. Baba azika wanaye akiwa chini ya ulinzi

    Wakati watoto Precious miezi 6 na Glory(4) Evance wakizikwa, baba yao mzazi Evance Kileka ameshiriki mazishi hayo akiwa chini ya ulinzi wa Polisi huku mama yao akiendelea na matibabu katika...

  6. Ndoto Moshi kuwa jiji yagonga mwamba, Meya aeleza masikitiko

    Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuberi Kidumo amesema licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi wa Baraza la Madiwani, ndoto ya kuipandisha hadhi Moshi kuwa jiji...

  7. Mama adaiwa kuwaua wanaye wawili, mgogoro wa familia watajwa

    Mary Mushi (26), mkazi wa Kijiji cha Mungushi, Hai mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kuwaua wanawe wawili, mmoja wa miaka minne na mwingine wa miezi sita, kisha kujijeruhi, chanzo kikitajwa ni mgogoro...

  8. Aliyemuua mkewe bila kukusudia aachiwa huru

    Mahakama ya Rufaa imemuachia huru Stephen Mduma, aliyekuwa amekuhukumiwa kifungo cha miaka saba jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua bila kukusudia aliyekuwa mke wake, Jackline Mwanjombe.

  9. Rungwe aruhusiwa kutoka hospitalini 

    Rungwe ambaye alikuwa katika ziara ya operesheni ya C4C mkoani Kilimanjaro, alipata changamoto ya afya Juni 14, 2025 na kupelekwa KCMC.

  10. Askari Magereza mbaroni akituhumiwa kumlawiti mtoto wa nduguye

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia askari wa Jeshi la Magereza (jina linahifadhiwa kwa sasa) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 13, katika...

Previous

Page 30 of 144

Next