Kaburi la mtoto lafukuliwa, jeneza lawekwa mlangoni mwa nyumba ya babu yake
Ni tukio la kushangaza. Ndivyo unavyoweza kuelezea kile kilichotokea katika familia ya Venant Zabron (52), Mkazi wa Kahinga, Kata Bugomola, wilayani Kyerwa, Mkoa wa Kagera baada ya kaburi la...