Misukosuko, msisimko wa safari ya kufika kileleni Kilimanjaro -2 Moshi. “Unatokea Tanzania? Mlima Kilimanjaro ukoje? Umewahi kupanda? Napanga kuja siku moja nasikia ni uzoefu mzuri, hata picha za mtandao nilizoziona zinavutia.” Ni kauli ya binti wa Kizulu...
CRDB yavuka lengo mauzo ya hatifungani ya miundombinu Benki ya CRDB imetangaza mafanikio makubwa ya hatifungani ya miundombinu ya ‘Samia Infrastructure Bond,’ iliyovuka lengo kwa asilimia 115, ikikusanya Sh323bilioni ambayo ni zaidi ya mara mbili...
Utafiti: Wajasiriamali wengi Tanzania wanakubali malipo ya kidijitali Utafiti mpya uliofanywa na kampuni ya kimataifa ya malipo (Visa) umeonyesha kuwa tabia ya wajasiriamali wadogo na wa kati nchini imebadilika ndani ya miaka miwili iliyopita, na asilimia kubwa...
Sababu theluji kupungua Mlima Kilimanjaro - 1 Katika eneo la Horombo, hewa ni hafifu zaidi, kukiwa na uoto mdogo wa asili. Horombo iko kwenye urefu wa mita 3,720 juu ya usawa wa bahari, wakati Mandara ni mita 2,720.
Mradi wa Bandari ya Bagamoyo waibua mjadala tena Viongozi hao wa Tanzania kwenye picha hiyo wapo nyuma ya wawakilishi wa Tanzania na Saudia ambao kwa mbele wanaonyesha nyaraka zinazodaiwa ni mikataba.
PRIME Mkutano wa kahawa utagusa hivi uchumi wetu Kahawa ni mojawapo ya bidhaa muhimu zaidi duniani, ikiwa ya nne kwa thamani ya mauzo baada ya mafuta, dhahabu na gesi asilia. Soko la kahawa lina thamani ya Dola za Marekani bilioni 500 (Karibu...
PRIME Hizi hapa hasara wanawake kuwa na uwezo mdogo kumiliki simu Licha ya ukuaji wa haraka wa teknolojia ya simu za mkononi barani Afrika, mamilioni ya wanawake bado hawajaunganishwa kidijitali, jambo linalopunguza fursa zao za kiuchumi na ustawi wao wa maisha.
Waziri Kombo ajivunia ushirikiano wa China na Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amesema mataifa ya Afrika yanapaswa kuuangalia ushirikiano wa China na Tanzania kama mfano wa maendeleo...
Rais Banga asema umeme ni haki ya binadamu Dar es Salaam. Rais wa Benki ya Dunia, Ajay Banga, amesema nishati ya umeme ni haki ya binadamu kwani huwezesha watu kufanya wanachokitaka katika nyanja nyingine za maisha ya kila siku. Banga...
Uamuzi wa Trump maumivu zaidi kwa Watanzania Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuzuia misaada ya maendeleo kwa siku 90, umeanza kuleta maumivu katika maeneo kadhaa, hususan ajira na utekelezaji wa miradi kama elimu na kilimo nchini.