Wasiojulikana wamuua kikatili mgambo maarufu mjini Moshi
"Marehemu alikuwa katibu wa madereva wa bajaji, alikuwa akifanya kazi za mgambo kata na dereva bajaji, hakuwa na shida na mtu, na jana nilikuwa naye sasa sijui nini kilitokea, tumeumia sana,"...