Kiini chatajwa sababu kuibuka maswali ripoti za CAG Ukosefu wa taarifa za mapato na matumizi miradi ya maendeleo chanzo kuibuka sauti za wananchi.
Walanguzi tisa wa tumbaku mbaroni wakidaiwa kwa wizi Watu tisa, wakiwemo raia watatu wa Kenya, wafanyabiashara kutoka wilayani Serengeti mkoani Mara na baadhi ya watumishi wa kampuni ya ununuzi wa tumbaku ya Global Leaf, wamefikishwa mahakamani...
Chadema wadai kuhamishia kambi Jeshi la Polisi, latoa taarifa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimesema baada ya kambi ya siku tisa kwenye ofisi za chama hicho Kanda ya Nyasa kutozaa matunda, huenda wakahamia zilipo ofisi za Jeshi...
Dk Biteko: Marathoni ni fursa kiuchumi kwa wafanyabiashara Dk Biteko amesema uwepo wa mbio Betika Mbeya Tulia Marathon ni fursa kubwa kwa wafanya bishara, huku akihamasisha umoja na ushirikiano kupitia mashindano hayo.
Dk Tulia ataja fedha za mashindano kuboresha miundombinu ya elimu, afya Mbeya. Spika wa Bunge na Mbunge Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson ameweka bayana fedha za ushiriki wa mbio za mashindano ya ‘Betika Tulia Marathon 2025’ zitatumika kuboresha miundombinu ya sekta ya...
Dau la atakayemuona Mdude lafikia Sh15 milioni Dau hilo la Sh10 milioni linaongezea na lile lililotangazwa awali na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera, la Sh5 milioni, hatua inayoashiria uzito wa tukio hilo kwa pande zote mbili – Serikali...
PRIME Chadema kuweka kambi Mbeya kushinikiza Mdude atafutwe Ikiwa ni siku ya saba tangu kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mwanaharakati Mdude Nyagali, kuchukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa ni polisi, wafuasi na viongozi wa chama hicho...
Hospitali Kanda ya Mbeya yaboresha chumba cha upasuaji wa watoto Katika jitihada za kuboresha huduma bora za afya, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya imeboresha miundombinu na kufunga vifaa tiba vya kisasa kwenye chumba maalumu cha upasuaji wa watoto.
Uchumi duni watajwa chanzo ongezeko magonjwa sugu kwa jamii Imebainika kuwa ukosefu wa kipato kwa baadhi ya wananchi ni chanzo cha ongezeko la magonjwa sugu yasiyoambukizwa, kutokana na kukosa fedha kugharamia matibabu na kuzifikia huduma kwa wakati.
Mtoto mchanga atoweka nyumbani, polisi waanzisha uchunguzi Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanzisha uchunguzi kufuatia tukio la kutoweka kwa mtoto mchanga mwenye umri wa siku 10, lililotokea katika Kata ya Iyela, jijini Mbeya.