Maktaba 2,900 nchini kuhuishwa ziwe za kisasa Lengo ni kuendana na mfumo mpya unaozingatia mahitaji ya kisasa katika jamii.
Dereva aliyesababisha vifo vya watu watatu Same mbaroni Kamanda wa Polisi mkoani humo, Simon Maigwa, amethibitisha kukamatwa kwa dereva huyo leo, Aprili 27, 2026, amesema atafikishwa mahakamani baada ya taratibu za kisheria kukamilika.
Ajali ya basi, gari dogo yaua watu watatu na kujeruhi Same Watu watatu wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser na basi la Kampuni ya Tahmeed. Ajali hiyo imetokea...
Mauly tours wapanda miti zaidi ya 200 kurejesha uoto wa asili Kilimanjaro Wadau wa utalii mkoani Kilimanjaro wamesema wataendelea kushirikiana na serikali katika juhudi za upandaji miti kwenye maeneo yanayozunguka Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro, lengo ikiwa ni...
Mbowe amwombea msamaha Ole Sabaya kwa wana Hai, asema amebadilika Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amemwombea msamaha aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, akiwataka wananchi wa Hai kumsamehe huku...
Muuguzi adaiwa kuuawa na mpenzi aliyemsomesha kisa wivu wa mapenzi Ofisa Muuguzi wa Hospitali ya Mji Same mkoani Kilimanjaro, Asha Bakari (25), anadaiwa kuuawa kwa kukatwa shingo na mpenzi wake, huku chanzo cha tukio hilo kikihusishwa na wivu wa mapenzi.
Sh1.3 bilioni kupunguza upotevu wa maji Kilimanjaro Wakati asilimia 69 ya upotevu wa maji katika Wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro, ukichangiwa na ubovu wa miundombinu ya maji, Shirika la Uhifadhi wa Mazingira (WWF) limepanga kutumia zaidi ya...
Wawili wafariki kwa ajali Moshi, watatu wajeruhiwa Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine watatu kujeruhiwa mkoani Kilimanjaro kutokana na ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Altezza lililopoteza mwelekeo.
Matumizi ya nishati safi ya kupikia nchini yafikia asilimia 23.4 Hata hivyo, tayari Serikali imeweka mkakati wa kitaifa kuhakikisha hadi kufikia mwaka 2034 asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ili kulinda afya na mazingira.