Makalla awasihi Watanzania kuwakataa wanasiasa wachochezi
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani, utakaofanyika Oktoba 2025, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amewataka Watanzania kuwakataa...