Bandari ya Mbambabay kufungua fursa kati ya Tanzania, Malawi Kujengwa kwa Bandari ya Mbambabay kunalenga kuimarisha ushoroba wa maendeleo ya Mtwara.
Rais Samia: Wakulima wa mahindi badilikeni, msiwauzie walanguzi Rais Samia Suluhu Hassan amesema licha ya Serikali kufanya kila juhudi za kuwawekea mazingira mazuri wakulima, wenyewe pia wanapaswa kubadilika.
Hii hapa sababu, chimbuko na maana ya Wangoni kugaragara Ingawa kugalagala (kugaagaa) chini wengine wanakuhusisha na mitazamo hasi, kwa kabila la Wangoni ni utaratibu unaobeba tafsiri lukuki zinazoashiria heshima na adabu.
Maagizo ya Rais Samia kwa Bashe, Aweso Rais Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kufuatilia taarifa za uwepo wa wakulima wa kahawa wanaokatwa kinyemela sehemu ya fedha za mauzo ya zao hilo.
Rais Samia ampa agizo Waziri Bashe kuhusu wakulima wa kahawa Rais Samia ametoa agizo hilo leo Jumanne, Septemba 24, 2024 alipozungumza na wafanyakazi na viongozi wa shamba la kahawa la Aviv Tanzania Limited.
Matumaini lukuki wananchi wa Madaba utekelezaji wa mradi wa maji Kwa mujibu wa wakazi wa Kijiji cha Mtyangimbole kwa sasa wanategemea maji ya visima vya watu binafsi
Rais Samia: Kila anayestahili fidia atalipwa Rais Samia amemtaka Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kuhakikisha Mradi wa Maji wa Mtyangimbole unakamilika baada ya miezi mitatu
Rais Samia: Tusiwakubali wanaotugawa kwa siasa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuwakataa wanaotaka kuwagawa kwa sababu za kisiasa au tofauti za kiitikadi.
Tamasha la utamaduni lilivyobeba umati Ruvuma Kama ungepita nje ya Uwanja wa Majimaji mkoani Ruvuma, shangwe zinazosikika ungedhani kuna mchezo wa mpira wa miguu unaendelea.
Kero sita zamsubiri Rais Samia Ruvuma Hii ni ziara ya kwanza ya Rais Samia katika Mkoa wa Ruvuma tangu alipoingia madarakani Machi 19, 2021