Usafiri wa waya mbioni nchini Rasimu ya kanuni kwa ajili ya iana hiyo mpya ya usafiri nchini tayari iko chini ya mapitio ya Serikali, huku mabadiliko ya taasisi yakiendelea kufanyika.
Wananchi wapewa mbinu kupambana na 'makanjanja' katika uhandisi Dar es Salaam. Wananchi wamesisitizwa wanapokuwa na miradi ya ujenzi kuwatumia wahandisi wabobezi na waliosajiliwa ili kuepuka athari mbalimbali zinazoweza kujitokeza kutokana na ujenzi kufanyika...
PRIME Hii hapa mikao hatari kwa afya yako Ni kwa nini kuna wagonjwa wengi? Sababu ni nyingi, lakini mojawapo ni namna watu tunavyoishi maisha yetu ya kila siku.
Ufahamu ugonjwa wa Parkinson na athari zake Wakati ulimwengu ukitarajiwa kuadhimisha Siku ya Parkinson duniani, kesho, ugonjwa huo umetajwa kuathiri neva za fahamu na kuathiri ufanisi wa mwili kwa mgonjwa ikiwemo kushiriki tendo la ndoa.
Yanayokwamisha ubiasharishaji bunifu, tafiti Ukosefu wa rasilimali fedha, uhusiano hafifu na sekta ya viwanda, na upungufu wa miundombinu ya biashara vimetajwa kama vikwazo katika ubiasharishaji wa utafiti na bunifu mbalimbali zinazofanyika...
Watoweka kwa siku 70, familia zinaendelea kuwatafuta kuchukuliwa na vyombo hivyo, lakini pia wapo wanaopotea kwa imani za kishirikina na wanatoa taarifa hizo wanapopatikana," amesema. Kutokana na hilo Muliro amesema wanaendelea kufanyia kazi...
PRIME Kauli ya atabadilika inavyowaponza wanandoa Baadhi ya watu wanapoingia katika uhusiano, huamini wanaweza kubadili zile tabia hasi ambazo wamezikuta kwa wenza wao.
Wananchi wataka ushirikishwaji uboreshaji wa makazi Wakati utekelezaji wa programu ya kuboresha na kurejesha maeneo ya miji ambayo yameathiriwa na changamoto mbalimbali ukianza, wananchi wametaka kupewa elimu zaidi na kushirikishwa katika mchakato...
Wafanyabiashara wa samaki sasa kuuza kidijitali Teknolojia inaendelea kukua katika sekta ya uvuvi, na sasa biashara ya samaki na mazao yake inaweza kufanywa kidijitali kupitia mfumo wa Vua Uza na Nunua Samaki Kidijitali wa PFZ.
PRIME Viongozi wa dini waonya mgawanyiko wa kisiasa Viongozi wa dini ya Kiislamu nchini, wamesisitiza uzingatiaji wa demokrasia ikiwamo kukaa mezani kujadili kwa pamoja wanapohisi kuna kutoelewana.