Tiger Woods, Vanessa Trump katika penzi la jioni Jua linaelekea kuzama kwa gwiji wa gofu duniani, Tiger Woods, 49, na mpenzi wake mpya Vanessa Trump, 47, lakini wana matumaini ya mwanzo mpya utakaokuwa na matokeo mazuri mbele kufuatia ndoa zao...
Mastaa Bongo wanaosubiri ndoa Kinachosubiriwa kutoka kwa watu hawa maarufu kutoka kiwanda cha burudani Bongo ni ndoa baada ya kuingia hatua ya uchumba kwa kuvishana pete.
Video za Bongo Fleva zenye stori kali Ukweli ni kwamba video nyingi za muziki wa Bongo Fleva kwa sasa hazina stori yoyote ndani tofauti na hapo awali, waandaji (music directors) na wasanii wenyewe wamejikita zaidi kwenye ubora wa...
Noti ya AY "AY0042290" ina matumizi mengi Je, huwa unajifunza nini pindi unapotazama video za muziki?, au kwako ni kama kufurahisha macho yako tu?, ila una paswa kujua kuna nyimbo ambazo video zake zinabeba maana zaidi ya kile...
Mastaa waliowatoa wenzao kimuziki Bongo Imekuwa kawaida katika siasa, biashara, michezo, muziki, filamu na mitindo, kila anayefanya vizuri upande huo, kuna mtu alimshika mkono au kumvutia kufanya mojawapo kati hayo machache
Ni mfumo au Nandy, Zuchu wanataka? Mwanzoni walidai kuwa Zuchu anatengenezwa ili kumshusha Nandy kimuziki, lakini miaka kadhaa nyuma ni watu haohao waliosema Nandy anatengenezwa ili kumshusha Ruby aliyeibuliwa na Tanzania House of...
Muziki wa Mwana FA na fedha ni damdam! Kwa sasa MwanaFA ana miaka zaidi ya 20 ndani ya Bongofleva tangu alipotoka 2002, lakini alikuwepo kwenye gemu tangu 1996 aliposhika nafasi ya tatu kwenye mashindano ya kuchana huko Tanga.
Ni mwaka wa Abigail Chams na rekodi zake Bongo Ndivyo tunavyoweza kusema kwa jinsi mambo yanavyokwenda kwa Abigail Chams, mwanamuziki wa Bongo Fleva ambaye nyota yake imeangaza ipasavyo kwa mwaka huu na kumfanya kuweka rekodi kadhaa kwake...
Justin Bieber achekelea dili la mkewe Mwimbaji wa Pop kutokea Canada, Justin Bieber (31) ameonyesha kufurahia dili jipya la mkewe Hailey(28) lenye thamani ya Dola1 bilioni wakati huu ambapo anaripotiwa kukabiliwa na matatizo ya...
Ilkay Gundogan na Sara nje ya uwanja MANCHESTER City ilicheza mechi ya mwisho ya Ligi Kuu England (EPL) 2024/25 katika dimba la Craven Cottage ambapo waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Fulham FC aliyopachikwa wavuni na Ilkay...