Tanzania yajibu mapigo azimio la Bunge la Ulaya Bunge hilo limezitaka Mamlaka za Tanzania kusitisha mara moja ukandamizaji unaozidi kuongezeka, ukamataji holela, ukatili, mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama wa upinzani, watetezi wa...
PRIME Uongozi mpya wa Chadema unavyopita katika tanuri la moto Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilipofanya uchaguzi wake wa ndani na kupata viongozi wapya, Januari 22, 2025, hali haijawa shwari ndani ya chama hicho kutokana na mwendelezo wa...
Kilio cha wafanyakazi Mei Mosi, 2025 Wafanyakazi wanatarajia hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Mei Mosi, itagusa masilahi yao ikiwamo nyongeza ya mshahara.
PRIME Mambo matatu yanayomsukuma Othman kujitosa urais Zanzibar Tayari Othman amerejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kuiwakilisha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 katika nafasi ya Rais wa Zanzibar, akiwa mgombea pekee aliyetia nia kuwania nafasi...
CAG: Miradi saba haijalipa fidia ya Sh24.75 bilioni, umo wa Bonde la Msimbazi Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amebaini miradi saba ilikuwa na malimbikizo ya fidia zinazodaiwa jumla ya Sh24.75 bilioni, ikihusisha waathirika wa miradi...
Wadau watofautiana Chadema kutosaini kanuni za uchaguzi Aprili 4, 2025 INEC ilituma mialiko kwa makatibu wakuu wa vyama vya siasa na Serikali kukutana jijini Dodoma leo Aprili 12 kujadiliana na kusaini kanuni hizo za maadili.
ACT Wazalendo kushiriki uchaguzi, waeleza sababu Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imeridhia kwa kauli moja kwamba chama hicho kishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 huku kikitaja sababu tatu ikiwamo ya kupigania mabadiliko katika mifumo ya...
PRIME KANUNI MAADILI YA UCHAGUZI: ‘Kibano’ kwa Serikali, Tume, vyama vya siasa Kati ya vyama 19 vyenye usajili wa kudumu nchini, ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) pekee ndicho hakikuhudhuria shughuli hiyo ya utiaji saini wa kanuni hizo, jambo ambalo limeibua...
Ufahamu ugonjwa wa Parkinson na athari zake Wakati ulimwengu ukitarajiwa kuadhimisha Siku ya Parkinson duniani, kesho, ugonjwa huo umetajwa kuathiri neva za fahamu na kuathiri ufanisi wa mwili kwa mgonjwa ikiwemo kushiriki tendo la ndoa.
PRIME Mitazamo tofauti yanayoendelea Chadema Wakati Chadema ikiwa na msimamo wa No Reforms, No Election G55 imepinga hatua hiyo jambo ambalo viongozi wakuu wa chama wakiwatafsiri ni wasaliti na wanaokwenda kinyume na uamuzi wa chama hicho.