Watu 45 wauawa kwa imani za kishirikina mkoani Geita Watu 45 wameuawa Mkoani Geita kwa imani za kishirikina kwa kipindi cha mwaka 2021-24 huku umaskini na ukosefu wa elimu vikitajwa kuwa chanzo cha mauaji hayo.
Polisi watakiwa kutumia busara, ulinzi shirikishi kuelekea uchaguzi mkuu Jeshi la Polisi nchini limewataka askari polisi wote wa ngazi ya kata nchini kutumia sheria, busara pamoja na mbinu ya ulinzi shirikishi katika kubaini na kuzuia vitendo vya uhalifu kabla ya...
Tingatinga lajiendesha kilometa moja, laparamia makazi na kujeruhi watano Geita Watu watano akiwemo mtoto mwenye umri wa wiki mbili wamenusurika kufa baada ya mtambo aina ya tingatinga (bulldozer) kuparamia nyumba tatu za wananchi katika kitongoji cha Isangiro kata ya...
Watatu wa familia moja wafariki dunia Chato Watu watatu, akiwemo mtoto mdogo, wanaosadikiwa kuwa ni wa familia moja, wamepoteza maisha baada ya kugongwa na gari katika barabara ya Mganza – Chato, eneo la Nyabilele, Kata ya Mganza, wilayani...
Waliomuua, kukata uke wahukumiwa kunyongwa hadi kufa Methali ya kusema "ukiua kwa upanga, utakufa kwa upanga" inaonekana kutimia baada ya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, kuwatia hatiani na kuwahukumu kunyongwa hadi kufa washtakiwa watatu...
Bei ya nyanya yapaa Geita, wakulima wachekelea Bei ya nyanya katika Soko Kuu la Wakulima Nyankumbu, Manispaa ya Geita, imepanda kwa zaidi ya asilimia 300 kutoka Sh20,000 iliyokuwepo miezi mitatu iliyopita hadi kufikia Sh75,000 kwa tenga.
TMDA yateketeza dawa za mamilioni ya fedha, yaonya wafanyabiashara Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Kanda ya Ziwa Magharibi, imeteketeza dawa zenye thamani ya Sh34 milioni sawa na kilo 1,000 zilizobainika kwisha muda wake, kuingizwa nchini kinyemela na zile...
Mmiliki wa gari lililokamatwa na dhahabu adai hakujua gari yake iko Kahama Mmiliki wa gari iliyokamatwa na polisi ikidaiwa kusafirisha dhahabu kupitia njia ya magendo, amekiri kuwa hakujua gari lake lilikuwa Kahama, mkoani Shinyanga.
Dhahabu ya Sh749 milioni yanaswa ikitoroshwa, watatu mbaroni Hili ni tukio la tatu kutokea la watu kupigwa na radi wilayani Bukombe tangu mwaka 2025 kuanze, baada ya Januari 27, 2025 wanafunzi saba wa shule ya Sekondari Businda kupoteza maisha huku wengine...
Mfanyabiashara Katoro apotea kwa siku 19, Polisi hawana taarifa Mfanyabiashara wa pembejeo za kilimo na mifugo katika mji mdogo wa Katoro uliopo Wilaya ya Geita mkoani Geita, Tatu Kimori (46) amepotea katika mazingira ya kutatanisha kwa siku 19.