Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1938 results for Tatu Mohamed :

  1. Bunge lampa tuzo Rais Samia, ataja alivyopitia wakati mgumu

    Bunge la Tanzania limemtunuku Rais Samia Suluhu Hassan tuzo maalumu ya heshima ya kutambua mchango wake kwa maendeleo ya Taifa.

  2. Sababu Mudathir, Mzize kuchomolewa Stars

    Wachezaji hao ni nahodha Mbwana Samatta anayechezea PAOK ya Ugiriki, Novatus Miroshi anayeitumikia Goztepe ya Uturuki, na Mudathir Yahya na Clement Mzize wanaoichezea Yanga.

  3. Simba yala kiporo kwa ugumu ikiichapa Singida Black Stars

    Bao pekee la ushindi la Simba katika dakika ya 42 akimalizia kwa ustadi kwa mguu wa kulia pasi ya Jean Charles Ahoua.

  4. PRIME Mambo matano ya kujifunza ubingwa wa RS Berkane

    Matumaini ya Simba kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025 yalikufa rasmi jana Jumapili, Mei 25, 2025 baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 na RS Berkane katika mechi ya pili ya...

  5. PRIME Aziz Ki na mtihani wa watu tisa Wydad

    Achana na ishu ya kuisaidia timu kushinda makombe ambayo hiyo inamuhusu mchezaji yeyote akisajiliwa, lakini kuna jambo kubwa ambalo Stephane Aziz KI anakabiliana nalo ndani ya klabu ya Wydad...

  6. PRIME Watatu waachiwa huru usafirishaji gramu 997.91 za heroini

    Hukumu iliyowaachia huru washtakiwa hao imetolewa Mei 23, 2025 na Jaji Sedekia Kisanya aliyesema upande wa mashitaka umeshindwa kuthibitisha shitaka hilo pasipo kuacha shaka.

  7. Simba katika vita ya Ubingwa CAF

    Ni dakika 90 za uamuzi zinazoweza kuleta furaha au majonzi kwa Tanzania ambazo ni za mechi ya marudiano ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya Simba na RS Berkane kwenye Uwanja wa New...

  8. Vita ya tiketi Ulaya EPL leo

    Mechi 10 zitakazochezwa leo katika viwanja tofauti zitafunga pazia la Ligi Kuu England (EPL) msimu lakini burudani zaidi inategemewa kwa michezo ambayo itahusisha timu zinazowania tiketi ya...

  9. PRIME DPP alivyowang’ang’ania walioachiwa huru kwa mauaji Zanzibar

    Mahakama ya Rufani Zanzibar imebatilisha uamuzi wa kuwaachia huru washtakiwa watatu waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka ya kuua na badala yake, imewaona wana kesi ya kujibu, hivyo kutakiwa...

  10. Kauli ya MO Dewji kwa mastaa Simba 

    Rais wa klabu ya Simba, Mohamed 'MO' Dewji, ametoa kauli nzito kuhusiana na mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kupelekwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar...

Previous

Page 4 of 194

Next