Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. Rungwe akatisha ziara na kulazwa KCMC, sababu zatajwa

    Licha ya Rungwe kutajwa kuwepo kwenye ziara hiyo ya kikazi mkoani Kilimanjaro, hakuonekana katika mikutano ya hadhara ambayo ilifanyika Mji mdogo wa Himo na viwanja vya Stendi Kuu ya Mabasi Moshi...

  2. Vijana Moshi wachangamkia supu ya pweza, daktari aeleza faida

    Supu ya pweza inayotumika sana mikoa ya pwani, sasa imefika bara katika mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro na kujipatia watumiaji wengi huku ikihusishwa na kuongeza nguvu za kiume.

  3. Anayedaiwa kuwaua wazazi wake Moshi apatikana akiwa hoi

    Inaelezwa kuwa, baada ya kufikishwa hospitalini hapo polisi walipata taarifa zake ndipo walipofika na kufanya taratibu za kipolisi.

  4. PRIME CCM, Chadema, Chaumma ni mwendo wa kufuta nyayo

    Vyama hivyo vya Chaumma, Chadema na CCM, vinaendelea za ziara zao zenye malengo tofauti kwa kukutana na wananchi, kuzungumza nao na kueleza ajenda zao wakati Taifa likielekea kwenye uchaguzi mkuu...

  5. Makalla atoa neno mjadala wa No reforms, No election mitandaoni

    Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo Jumapili Juni 8,2025 Katibu wa Itikadi,Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema wanaotekeleza kampeni hiyo wanajifurahisha tu.

    New Content Item (1)
  6. Mwanga kupata shule mbili za sekondari za ufundi

    Hayo yamesemwa jana jioni Juni 7, 2025 na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda wakati akizungumza na wananchi wa Tarafa ya Ugweno alipokuwa akikagua shule mpya ya...

  7. Wadau wapanda miti 500 kupambana na ukame Moshi

    Miche hiyo, ikijumuisha miti 200 ya matunda na 300 ya kivuli, imepandwa kuzunguka maeneo ya shule hiyo kwa lengo la kuboresha mazingira na kuchangia lishe bora kwa wanafunzi.

  8. Vilio, simanzi vya tawala wanandoa waliouawa wakizikwa

    Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi (53) waliouawa kikatili nyumbani kwao Msufuni, Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro usiku wa Mei 29...

  9. PRIME Waliokuwa wabunge wapiga jaramba kurudi bungeni

    Kwenye kundi hilo wapo walikuwa mawaziri na naibu mawaziri wameonyesha nia ya kuingia katika uchaguzi mkuu ujao kuchuana na wenzao walioingia mwaka 2020 ambao wamebakisha siku 23 kumaliza...

  10. Miili ya wanandoa waliouawa ikiagwa KKKT, kuzikwa leo

    Shughuli ya kuaga miili ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi (53), wanaodaiwa kuuawa na mtoto wao inaendelea katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa...

Previous

Page 31 of 144

Next