Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1434 results for Janeth Joseph :

  1. PRIME Mtifuano mabasi ya Ngorika, wanafamilia wazidi kuvutana

    Kuhusu hoja kuwa kama mdai alikuwa anashikilia mali zote za kampuni hiyo, Jaji alisema Mahakama haiwezi kuamua hoja hiyo kwa kuwa tayari ilishaamuliwa na Mahakama Kuu Kitengo cha Biashara katika...

  2. Familia ya Mchungaji aliyetekwa yasema inamwachia Mungu

    Alipotafutwa na Mwananchi kuzungumzia suala hilo Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo, simu yake iliita bila kupokelewa.

  3. ACT Wazalendo yajipanga kulitwaa Jimbo la Moshi vijijini

    Makada wawili wa Chama cha ACT - Wazalendo, wamechukua fomu za kuomba ridhaa ya chama chao kugombea ubunge jimbo la Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...

  4. Bei lita moja maziwa ya nyuki yagonga Sh12 milioni

    Tanzania inatajwa kuwa nchi ya pili kwa uzalishaji wa asali duniani, ikizalisha takribani tani 38,000 kwa mwaka, ikitanguliwa na Ethiopia ambayo huzalisha tani 50,000 kwa mwaka.

  5. Simulizi ya mzee Mlinga aliyepoteza mke na mtoto katika maporomoko ya udongo

    Kama binadamu angepewa uwezo wa kutazama kesho yake, huenda Mzee Fredy Mlinga (60) asingekanyaga kabisa ndani ya nyumba aliyojenga kwa mikono yake mwenyewe, iliyogeuka kuwa kaburi la mkewe na...

  6. DC Moshi atoa onyo kwa vijana kuhusu vurugu za uchaguzi

    Moshi. Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Godfrey Mnzava amewataka vijana kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba, akisisitiza kuwa ni jukumu lao kulinda utulivu katika...

  7. Mchungaji aliyetekwa Arusha akutwa porini, asimulia

    Mchungaji huyo amesema watu hao walimwambia alale chini wakamkanyaga shingoni, mmoja akawaambia wenzake wanamuachaje hapo.

  8. Mchome avuliwa uongozi Chadema

    Mchome amekutana na kadhia hiyo kipindi ambacho amekuwa na migogoro na chama chake hasa baada ya barua ya malalamiko dhidi ya baadhi ya viongozi wa sekretarieti na kamati kuu akidai walipitiswa...

  9. Wahamiaji haramu 35 wakamatwa K’njaro wakiwa shamba la mahindi

    Kuanzia Januari hadi Mei 15, 2025, wahamiaji haramu 65 wamekamatwa katika maeneo tofauti mkoani Kilimanjaro, kwa kosa la kuingia nchini kinyume cha sheria.

  10. Mwanafunzi chuo cha  KICHAS adaiwa kujiua  kisa madeni

    Inadaiwa kuwa, siku ya tukio, baadhi ya wanafunzi waliokuwa wanamdai walienda nyumbani kwake anakoishi kufuata fedha zao na walipofika waligonga mlango bila mafanikio na walipochungulia dirishani...

Previous

Page 33 of 144

Next