Walioshtakiwa kwa kusafirisha kilo 221.43 za bangi waachiwa huru
kuwa Januari 21, 2023, katika eneo la Msitu wa Ruvu Kusini, Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, washtakiwa hao walikutwa wakisafirisha dawa hizo kinyume cha sheria. Upande wa mashtaka, ukiongozwa na...