Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1435 results for Janeth Joseph :

  1. Saba wafariki dunia ajali ya basi Mwanga, 32 wajeruhiwa

    Watu saba wamefariki dunia papo hapo huku wengine 32 wakijeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Mvungi, walilokuwa wakisafiria kupinduka katika eneo la Kijiji cha Mamba, Kata ya Msangeni, Tarafa ya...

  2. Miili ya wanakwaya sita Same yaagwa, kuzikwa kesho Chome

    Miili sita ya wanakwaya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare waliofariki kwa ajali ya gari wilayani Same mkoani Kilimanjaro imeagwa leo...

  3. Sh9.3 bilioni kupunguza tatizo la maji maeneo tambarare Rombo

    Serikali imetoa zaidi ya Sh9.3 bilioni kwa ajili ya kutekeleza mradi wa maji utakaopunguza tatizo la maji katika vijiji 31, vilivyopo maeneo ya ukanda wa tambarare Wilaya ya Rombo mkoani...

  4. Majeruhi 46 wa ajali Same waruhusiwa, sita kuagwa leo

    Majeruhi 46 kati ya 75 wa ajali mbili tofauti ikiwemo iliyoua wanakwaya sita wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Usharika wa Mmeni Chome, Dayosisi ya Pare, Wilaya ya Same mkoani...

  5. Mashuhuda wasimulia ajali iliyoua wanakwaya sita

    Mashuhuda wa ajali iliyoua wana kwanya sita na kusababisha majeruhi 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mmeni, Dayosisi ya Pare, Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro,...

  6. Wanakwaya sita wafariki dunia, 75 wajeruhiwa ajali mbili tofauti Same

    Watu saba wakiwamo wanakwaya sita, wamefariki dunia papo hapo huku wengine 23 wakijeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupoteza mwelekeo na kupinduka katika Milima ya Pare, Wilaya ya...

  7. Moshi kukosa maji kwa saa kadhaa, matengenezo ya bomba yanaendelea

    Kufuatia hitilafu ya bomba la maji katika Barabara Kuu ya Moshi – Arusha, Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Muwsa) imesema baadhi ya maeneo ya Mji wa Moshi yatakosa huduma ya maji...

  8. PRIME Hii hapa sababu bei ya nyama kushuka

    Kutokana na hali hiyo, bei ya nyama katika masoko na mabucha mbalimbali imeshuka kutokana na wingi wa mifugo iliyonunuliwa kwa mkupuo.

  9. PRIME Mvua zazua kizaazaa

    Mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeanza kuleta athari, huku wananchi wanaoishi maeneo hatarishi wakiaswa kuhama.

  10. Profesa Mkenda: Tuendeleze mazuri yaliyoachwa na waasisi wetu

    Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Shaban Mlewa, amewasihi wananchi wa Rombo kuwaunga mkono viongozi wanaoshirikiana nao kwa karibu na kutatua changamoto zao.

Previous

Page 38 of 144

Next