Rais Samia amteua Badru bosi mpya Ngorongoro, Dk Doriye aliwa kichwa Kuteuliwa kwa Badru kuiongoza NCAA, kunaendelea kutengeneza panda shuka za Dk Doriye ambazo amekuwa akikutana nazo tangu aanze kuhudumu kama mteuliwa ndani ya Serikali.
Ujenzi wa minara 758 wafikia asilimia 90 Amesema mkataba wa utekelezaji wa mradi huo uliingiwa Mei 2023 ambapo Serikali kupitia UCSAF ilisaini makubaliano na watoa huduma kufikisha mawasiliano maeneo ya vijijini.
PRIME Rais Samia acharuka siri nyeti kuvuja Rais Samia, amesema kwa kuwa viongozi ni binadamu, lakini pia wamewekewa miiko, na kwamba endapo tathmini itafanyika, huenda ni asilimia 30 pekee ndiyo wanaofuata miiko ya uongozi.
Mauzo kuni yapungua kwa asilimia 96.8, mkaa bado moto Unaweza kusema ni hatua ya kwanza imepigwa na Tanzania katika kutokomeza matumizi ya nishati chafu hasa baada ya mauzo ya kuni kupungua kwa asilimia 96.8, ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)...
PRIME Umuhimu wa uwekezaji kwenye utafiti wa gesi asilia kufanyika sasa China na Marekani wanawekeza katika magari ya umeme, wakati Kenya inazalisha umeme wa joto ardhi, hali inayofanya vijana, wanasayansi na wanaharakati kupaza sauti wakidai mabadiliko.
Wagombea 18 kuchuana urais CWT, 19 umakamu Kuwapo kwa idadi kubwa ya wagombea kumeelezwa na aliyekuwa Rais wa CWT, Gratian Mukoba kwamba ni ishara ya mvuto wa chama kwa kuwa hakuna mtu atakayekubali kuongoza kitu kisichokuwa na maana.
Ripoti: Watu 23 walibakwa kila siku mwaka 2024, sita wakilawitiwa Takwimu zinaonyesha kuwa watu 23 walibakwa kila siku nchini katika mwaka 2024, huku wengine sita wakilawitiwa, ripoti ya hali ya uhalifu na makosa ya usalama Barabarani 2024 inaeleza.
‘Katazo matumizi fedha za kigeni, limeimarisha thamani ya Shilingi’ Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema utekelezaji wa kanuni za matumizi ya fedha za kigeni umesaidia kuimarisha thamani ya Shilingi ya Tanzania na kuongeza upatikanaji wa fedha za kigeni sokoni.
Sababu wageni kupewa maeneo ya kuchimba gesi, mafuta Matumizi ya gharama kubwa katika kuchimba visima vya gesi imetajwa kuwa sababu ya Serikali kunadi vitalu vyake, ili kuita wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali.
Yajue maeneo Tanzania wawekezaji wanaweka zaidi fedha Kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na TIC hivi karibuni viwanda ndiyo sekta kinara kwa kuvuta uwekezaji ambapo zaidi ya Sh10.79 trlioni ziliwekezwa katika kipindi hicho ikifuatiwa na sekta ya...