Taharuki makaburi zaidi ya 30 yakivunjwa Mbozi Makaburi zaidi ya 30 katika Mtaa wa Majengo, Kata ya Hasanga wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe, yamevunjwa kisha kung’olewa misalaba na urembo wa kwenye malumalu.
Mzee wa miaka 63 auawa Mbozi, anyofolewa viungo vya mwili Leo Jumanne Julai 16, 2024, Mwananchi Digital imefika nyumbani kwa marehemu na kuzungumza na mtoto wake, Jose Sambo
Waliofunika nyuso wavamia msiba, wapiga waombelezaji Wananchi wa Kitongoji cha Nsenya Kijiji cha Ilembo wilayani Mbozi mkoani Songwe wameingiwa na hofu, wakidai kuvamiwa na kujeruhiwa na kundi la watu bila kueleza sababu za kufanya hivyo.
Nyumbani kwa Naibu Waziri Ujenzi walilia barabara Barabara hiyo inayolalamikiwa ina urefu wa kilomita tatu na inatoka Mtula – Bwenda na inatarajiwa kugharimu Sh201 milioni.
Makada wa CCM Ileje mtegoni Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Ileje, Mkoani Songwe, kimesema kitawafikisha kwenye vikao vya maadili ya chama hicho makada wanaojipitisha kwa lengo la kutaka nafasi za ubunge na udiwani...
PRIME Mgomo wa wafanyabiashara waacha kilio kila kona Saa 53 za mgomo wa wafanyabiashara ulioanza eneo la Kariakoo Dar es Salaam kabla ya kusambaa maeneo kadhaa nchini umeathiri mapato ya kada tofauti katika mnyororo wa biashara.
Mgomo wa wafanyabiashara Tunduma wafunga maduka, Arusha nao ‘wabip’ Wakati wafanyabiashara wa maduka maeneo ya soko kuu katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma wilayani Momba, mkoani Songwe wakifunga maduka yao leo, mkoani Arusha wao waliyafunga kwa saa mbili...
Chongolo: Ajenda ya lishe iwe ya kudumu Songwe Mabaraza ya madiwani mkoani Songwe yametakiwa kubeba ajenda ya lishe kwenye vikao ili kukabiliana na tatizo la udumavu na utapiamlo kwa watoto chini ya miaka mitano unaoukabili mkoa huo.
Wawili mbaroni kwa kubaka, kumuua mtoto wa miaka miwili Kwa mujibu wa jeshi hilo katika kipindi husika linawashikilia watuhumiwa 680 kwa tuhuma ya kujihusisha na matukio ya ukatili wa kijinsia, uvunjaji, wizi, mauaji, utapeli.
Polisi watatu kizimbani wakidaiwa kupokea rushwa ya Sh55 milioni Kabla ya kufikishwa mahakamani na Takukuru, walifukuzwa kazi ndani ya Jeshi la Polisi baada ya kushtaakiwa kijeshi kwa tuhuma hizo.