Mabadiliko ya tabianchi yanavyoathiri shughuli za kampuni za simu Teknolojia ya kidijitali ilikuwa miongoni mwa mada kuu katika Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi wa Umoja wa Mataifa wa mwaka 2023, COP29, ambapo viongozi wa dunia walijadili athari za ukuaji wa...
PRIME Mradi wa LNG Lindi wanukia, mazungumzo karibu kukamilika Mazungumzo ya utekelezaji wa mradi wa kusindika gesi asili kwenda kwenye kimiminika (LNG) mkoani Lindi huenda yakafika tamati mapema mwaka huu, huku kila upande ukiwa na matumaini ya kupata...
PRIME Sababu kuwepo matumaini ya nafuu bei ya mafuta 2025 Miongoni mwa bidhaa muhimu ambazo Tanzania huziagiza nje ya nchi ni bidhaa za mafuta, ambazo gharama zake kwa mwaka ni wastani wa Dola za Marekani 2.57 bilioni (Sh6.1 trilioni).
PRIME ‘Top 5’ magari yaliyonunuliwa zaidi Tanzania mwaka 2024 Kwa mujibu wa Ripoti ya mwenendo wa Uchumi ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hadi Oktoba, 2024 Tanzania ilitumia Sh832.79 bilioni kuagiza magari kwa ajili ya matumizi binafsi, sawa na wastani wa...
PRIME Kuimarika kwa Shilingi kuna maana gani kwako? Habari hiyo njema inatokana na kuimarika kwa Shilingi dhidi ya sarafu za kigeni, kwani sasa viwango vya kubadilishia fedha vimeimarika na kuwa nafuu zaidi kwa Tanzania, tofauti na kipindi cha...
Tanzania, Kenya sasa kufanya biashara ya umeme Novemba 05, Mwaka huu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko alieleza kuwa uzalishaji wa umeme uliounganishwa katika gridi ya Taifa ulifikia Mega wati 2,607 huku megawati 1,175...
Gharama kubwa za masomo chanzo upungufu wa marubani Amesema changamoto kubwa iliyopo ni gharama kubwa ya mafunzo, ambapo kumwandaa rubani mmoja hadi kufikia kiwango cha kuendesha ndege kunagharimu takriban Sh200 milioni.
Viongozi wa dini wataka mabadiliko ya kisera, sheria kudhibiti ndoa za utotoni Dar es Salaam. Ili kuwalinda watoto na ndoa za utotoni, viongozi wa dini wameshauri hatua za kisheria na kisera, huku wakigusia msimamo wa imani mbalimbali kuhusu ndoa na umri unaofaa. Miongoni...
Umuhimu wa Tanzania kupitisha mkataba wa kodi wa Umoja wa Mataifa Mkurugenzi mkazi wa (NCA) nchini Tanzania, Berte Marie Ulveseter, amesema Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kodi, ni juhudi muhimu inayolenga kubadili mwelekeo wa sera za kodi duniani na...
PRIME Kilichojificha utoroshaji dhahabu, athari zake kiuchumi Kutokuwepo kwa uwiano wa kodi kati ya Tanzania na nchi jirani kunatajwa kuwa miongoni mwa sababu zinazosababisha mazingira yasiyo sawa, hivyo kuchochea usafirishaji wa dhahabu kwa magendo...