Sintofahamu Mdude kukamatwa, polisi yasema wanafuatilia
Kwa mujibu wa Mbeyale, baada ya kufika nyumbani kwa Mdude, majirani walidai kuwa watu waliovunja mlango, kumshambulia kwa kipigo na baadaye kuondoka naye, walijitambulisha kuwa ni askari wa Jeshi...