Matarajio Zanzibar bajeti ya Serikali leo Mtaalamu wa masuala ya uchumi na mshauri binafsi katika sera na uchumi, Dk Twahir Mohamed Khalfan amesema bado kuna kazi ya kufanya kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji na kuondoa kodi ambazo...
Matarajio bajeti ya Zanzibar 2025/2026, ikiwasilishwa Baraza la Wawakilishi Wakati Bajeti ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye makadirio yanayofikia Sh6.8 trilioni ikisomwa kesho, wananchi na wataalamu mbalimbali wameendelea kutoa...
Ripoti yabainisha wazawa wawekwa kando fursa za ajira Kati ya nafasi zote za ajira zilizokuwepo mwaka 2022/23, asilimia 38.6 zilihitaji wataalamu wa kada hiyo.
Njia za watumwa kufufuliwa, vikao vyaanza SMT na SMZ Waziri Soraga amesema, wizara ya Utalii na Mambo ya Kale imeshaanza kazi ya kukusanya taarifa za maeneo yanayohusiana na njia zilizotumika wakati wa biashara ya utumwa kutoka Tanganyika hadi...
Wawakilishi walia Sheria ya Udhalilishaji kutumika kama kichaka cha kukomoana Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imekiri sheria ya kuwanyima dhamana watuhumiwa wa udhalilishaji ina upungufu huku wananchi wakiitumia kama kichaka cha kukomoana.
Hemed: Mamlaka za kodi zisiogopeshe walipakodi Ametoa kauli hiyo leo Juni 9, 2025 wakati akifungua kongamano la kodi na uwekezaji na kuongeza kuwa, lazima mifumo hiyo iwe wazi na kuwahamasisha walipa kodi badala ya kuwaogopesha.
Tani 2,700 za mbolea zagawiwa kwa wakulima Zanzibar Amesema kwa upande wa wizara wanaendelea na tafiti za namna gani wanawawezesha wakulima kwa kuwapatia mbinu bora za kuyatumia tena mabonde yaliyoathiriwa na maji ya chumvi.
Zanzibar mbioni kuanzisha shirika la ndege Kwa sasa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) inafanya mazungumzo na wawekezaji watakaoweza kushirikiana na Serikali kuanzisha shirika ndege
Bei za petroli, dizeli na mafuta ya taa zapungua Zanzibar Mamlaka ya Udhibiti wa Mafuta na Maji (Zura) imetangaza bei mpya za mafuta yakiwamo ya taa ambayo hayajawahi kupungua kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
Rais Mwinyi ahimiza utulivu, amani kuelekea uchaguzi mkuu Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi, amewataka viongozi wa dini na wananchi kwa ujumla kuendelea kuliombea taifa kuwe na amani na utulivu kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.