Rais Samia aligusa Baraza la Mawaziri mara nne 2024 Wakati mabadiliko haya yakizua mjadala katika jamii na mitandao ya kijamii, wachambuzi wa masuala ya siasa wanatoa mitazamo tofauti kuhusu athari zake kwa utawala na utendaji wa Serikali.
PRIME Mtazamo tofauti ushindi wa Profesa Lipumba CUF Ingawa ushindi wa Profesa Ibrahim Lipumba katika nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa ni furaha kwake na baadhi ya makada, wanazuoni wanauona kama ni kaburi la chama hicho.
Profesa Lipumba achaguliwa tena mwenyekiti CUF, aweka historia Matumaini na imani ya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF), yamebaki vile vile kama ilivyokuwa miaka 25 iliyopita, baada ya kumchagua tena Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mwenyekiti wao taifa.
PRIME Ni mwisho wa CUF? Mgogoro unaofukuta ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ambacho kinafanya uchaguzi wa kanda kwa sasa unahusishwa na ukomo wa madaraka.
Yakifanyika haya uchumi wa soko utazalisha ajira kwa Watanzania Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud ametaja mambo kadhaa ambayo yakifanyika Taifa litafanya vizuri katika uchumi utakaozalisha ajira kwa Watanzania.
Matukio ya mauji, ukatili yalivyoitikisa Zanzibar hivyo, Mashaka naye anadaiwa kujinyonga Oktoba 3, 2024 kwa kutumia kamba aliyofunga kwenye mti wa mfenesi. Katika tukio lingine ni la Askari wa Kikosi cha Valantia Zanzibar (KVZ), Haji Machano...
PRIME Mitazamo tofauti ya wadau panga-pangua ya Rais Samia Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kupanga safu ya wasaidizi wake kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo kuligusa kwa mara nyingine baraza lake la mawaziri.
Tisa kuchuana uenyekiti CUF Desemba 18, Chadema Kanda Kaskazini, Kati waanza kuchukua fomu Mkutano Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) uliotakiwa kufanyika Septemba 2024 sasa utafanyika Desemba 18 na 19, 2024 huku ajenda kuu ikiwa ni uchaguzi wa viongozi wakuu.
Rais Samia akutana Malaigwanani wa Ngorongoro, atangaza kuunda tume Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametangaza uamuzi wa kuunda tume mbili ikiwamo itakayochunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro.
Othman: Serikali ina wajibu kueleza ukweli vifo vyenye utata Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amezifariji familia zilizopoteza vijana wao katika vifo vyenye utata, huku akizitaka kuwa na subra kwani serikali inao wajibu kutafuta ukweli...