PRIME Wadau wataka haki itendeke ili kulinda amani Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa wito wa kulinda amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, wadau kutoka makundi mbalimbali wametilia mkazo umuhimu wa haki na usawa...
Samia: Hatutawavumilia watakaochezea amani yetu Rais Samia amesema Tanzania inatambulika kwa kuwa na amani na utulivu tangu ilipopata uhuru mwaka 1961. Amesema utulivu huo umewezesha utaratibu mzuri wa kubadilishana uongozi wa nchi kupitia...
PRIME Siku saba za mtifuano wa vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu Wakati Chadema na CCM vikiendelea kurushiana maneno majimboni, ACT Wazalendo kimesema kipaumbele chake kwa sasa ni kupigania mageuzi ya mfumo wa uchaguzi na kurejesha thamani ya kura ya kila...
PRIME Wachumi: Fanyeni haya kukabili hasara ya mashirika ya umma Mashirika yaliyotajwa kupata hasa ni Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Shirika la Reli Tanzania (TRC), Shirika la Posta Tanzania (TPC) na Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL).
PRIME Ni madudu, ufanisi ripoti za CAG, Takukuru Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa mwaka 2023/24 zimeonyesha mafanikio katika baadhi ya sekta, lakini pia...
Wadau watahadharisha ugawaji majimbo Mchambuzi wa siasa, Dk Conrad Masabo amesema ugawaji majimbo ni jambo la kawaida lililoanza tangu mwaka 1961, lakini changamoto ni kama yanagawanywa ili kumfaidisha mtu fulani.
Makamu wa Rais asisitiza elimu biashara ya kaboni Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza kutolewa kwa elimu ya biashara ya hewa ukaa (kaboni) ili wadau muhimu kwenye biashara hiyo wawe na uelewa utakaochochea ukuaji wa uchumi.
Wadau wataka ukomo viti maalumu, mchakato ndani ya vyama wakosolewa Devotha aliyewahi kugombea ubunge jimbo la Morogoro Mjini amesema kupewa nafasi mara nyingi kunawanyima wengine fursa ya kwenda kuonyesha uwezo wao.
Hawa hapa viumbe hatari kwa binadamu Inakadiriwa kwamba watu 400,000 wanauawa na binadamu wenzao kila mwaka duniani kote.
PRIME Chadema yapigilia msumari msimamo uchaguzi 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepigilia msumari msimamo wake wa kuhakikisha uchaguzi haufanyiki nchini kama mabadiliko ya msingi katika mfumo wa uchaguzi hayatafanyika.