Miaka 4 ya Magufuli: Askofu Niwemugizi, Rais Samia, familia watoa kauli
Viongozi mbalimbali wa Serikali, siasa, na kiroho wamezungumzia maisha ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, hayati John Joseph Magufuli, akiwemo Askofu wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge-Ngara...